Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Mwanamke anaye toa pole kwa mwanaume ambaye amemgegeda anaelewa kwamba amepewa chakula cha uzima na jamaaa
 
Wakuu habari za weekend!!!
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa wote mtakaosoma ujumbe na wale mtakaonijibu na hao watakaopita kimya

Nimekuwa nikitatizwa na hili jambo pindi mwanaume anapomaliza kubanjuka mwanamke anatoa neno hili

"Pole pole sana mpenzi" huku mwanaume ukitokwa na jasho na mhemo wa juu kama ulikuwa unambio ndefu sana

Hivi hii inaashiria nini kwa mwanaume?
Na mwanamke anakuwa na maana gani kwa mume
Natanguliza shukrani

Ujue unataka kuibiwa
 
umenikumbusha moshi mjini miaka ya 2011-2013 binafsi sikuwa na pesa ila nikamfuata mrembo mmoja akanielewa basi kila tukipeana mambo lazima anipe pole, yaani hadi raha mapenzini jamani huyu mrembo hata kuniomba 1/=tsh hakuwahi ila raha tulipeana sana yaani binti alinifundisha kuunganisha bao, ile ukipiga bao tu kuna namna aliukalia mkuyenge na kuzungusha kiuno kwa kasi ya pangaboya ya bombadia na hapo hapo mkuyenge unasimama tena kwa kasi ya 4g. duh yule bint nahisi angenifanya kilema wa kiuuno maana si kwa kasi ile. namisi sana pole zake siku hizi unakutana na jitu halijali kumpa pole mpenzi wake bali ile mnamaliza tu jitu linashika simu na kuanza kubofya
 
Ukiambiwa asante ina maana katika huwo mchezo wewe ndio mshindi, ila sasa ukiambiwa pole ina maana yeye amekushinda sasa anakupa pole kwa mchezo maana anakuwa amekukimbiza hadi jasho limekutoka kisawasawa, nimejaribu kutumia lugha ya nzuri natumaini angalau utakuwa umeelewa kwa sehemu.
Nimekuelewa maana yako lkn kweli nyie watoto wakike hamsomeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom