Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Wakuu habari za weekend!!!
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa wote mtakaosoma ujumbe na wale mtakaonijibu na hao watakaopita kimya

Nimekuwa nikitatizwa na hili jambo pindi mwanaume anapomaliza kubanjuka mwanamke anatoa neno hili

"Pole pole sana mpenzi" huku mwanaume ukitokwa na jasho na mhemo wa juu kama ulikuwa unambio ndefu sana

Hivi hii inaashiria nini kwa mwanaume?
Na mwanamke anakuwa na maana gani kwa mume
Natanguliza shukrani

pole pole usichukue VVU kwa kasi
 
Ina maana zaidi ya moja.
1.Kazi uliyofanya ni nzito imeridhisha na hivyo itakuwa imekuchosha.(moyoni kwake wewe ni shujaa)
2.Umejihangaisha na ukajitahidi lakini kazi haijaridhisha,na kwa hiyo unapewa pole kwa udhaifu ulioonyesha. (inaambatana na huruma moyoni)
3.Ulipagawa ukawa kama kichaa mambo yakawa ni vululuvululu tu unapewa pole kwa ushamba wako (na kicheko cha dhihaka moyoni)
Hapa mkuu umenifanya nishike kichwa ghafla
Ni kichwa kipi piga kimya
 
Wangu huwa ananambia asante
Mimi asante huwa zinakuja nyingi mno hasa kipindi bado nagegeda ila ninapokuja kushusha mzigo

Pole huwa ya kwanza
Asante zinafuata lkn huwa chache kwa kuwa huwa wamechoka
Atasema pole huku akikipapasa kichwa changu licha ya jasho lkn hajali
 
Kazi uliyofanya ni nzito imeridhisha na hivyo itakuwa imekuchosha.(moyoni kwake wewe ni shujaa) hili ndio jibu sahihi mleta maada upo hapo?
 
unao wangapi kaka,?
 
nachojua mara nyingi mwanamke ukimfikisha kileleni na kumridhisha haswa pale ushukapo kifuani kwakwe neno la kwanza kumtoka kinywani kwake ni "asante ...... wangu" hiyo pole sasa sijui ni inamtoka coz unaonekana umechoka sana ama vipi?
Asante huwa nazipata nyingi tu mkuu labda kwa sababu wengi wao wanaweza piga bao mbili mpaka nne mi bado sijapiga bao
Hizi asante nazipata wakati namkuna lkn ninapokuja kumaliza inatangulia pole
Pole inaambatana na kupapaswa kichwa ndevu shingo na baadae ndo anaweza kusema viasante kama viwili vitatu vya kivivu
Kwa kuwa huwa wanachoka sana
 
Kazi uliyofanya ni nzito imeridhisha na hivyo itakuwa imekuchosha.(moyoni kwake wewe ni shujaa) hili ndio jibu sahihi mleta maada upo hapo?
Yaani kwa avata yako tu
CHEUPE DAWA
Umemaliza kila kitu yaan nimepata faraja kupita kawaida
Nakushukuru sana
 
Wakuu habari za weekend!!!
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa wote mtakaosoma ujumbe na wale mtakaonijibu na hao watakaopita kimya

Nimekuwa nikitatizwa na hili jambo pindi mwanaume anapomaliza kubanjuka mwanamke anatoa neno hili

"Pole pole sana mpenzi" huku mwanaume ukitokwa na jasho na mhemo wa juu kama ulikuwa unambio ndefu sana

Hivi hii inaashiria nini kwa mwanaume?
Na mwanamke anakuwa na maana gani kwa mume
Natanguliza shukrani
Wapuuzi, wanadhani ile " AAAAAAAHAAA" wakati wa kuja ni ya maumivu kumbe ya raha!!
 
Back
Top Bottom