Podium aliyosimama mkuu wetu

Podium aliyosimama mkuu wetu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mleta mada ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuona zuri kwao kila kitu ni kibaya tu as long as hakijafanywa na upande wake.

ni wale ambao ukikaa wanasema kwa nini amekaa.
ukisimama wanasema kwa nini amesimama.
Boss penye kusifia tusifie tu na penyw kukosoa tukosoe, Kwanza hapo kwenye uzi wangu sijamkosoa Mheshimiwa Rais hata kidogo, Isipokuwa nimetoa mapendekezo kwa Team anayoambatana nayo mana Rais hata hahusiki na huo uundaji wa iyo podium
 
tatizo ni rangi?? au ni urefu wa kizimba??? au mpiga picha??? mleta mada what is your concern?
Angalia io podium alipokuwa Kenya na io ya hapo juzi dodoma
 
Kiswahili chake ni mimbari. Ila kusema ukweli mimbari ya ovyo hiyo.
 
Hao walinzi nao wanazidi mno mda mwingine hadi akiwa ndani ya ikulu utakuta kazungukwa na majemedari kadhaa hivi, had huwa najiuliza mbinu hii ya ulinzi wameikopi wapi?
Wacha watu wafanye kazi zao. Katika swala la usalama hakuna cha kihatarishi kidogo wala kikubwa. Lengo ni kumlinda mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mleta mada ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuona zuri kwao kila kitu ni kibaya tu as long as hakijafanywa na upande wake.

ni wale ambao ukikaa wanasema kwa nini amekaa.
ukisimama wanasema kwa nini amesimama.
 
Mtoa mada ingefaa utupe terms of reference umetoa wapi kiasi cha kukosoa podium as if kuna standardization ya hiyo kitu. Sio kuishi kwa hisia na ujuaji wa kila kitu. Hivi uliyoona wewe ni hiyo tu, and why now? Miaka 2 sasa inaleta mada dhoofu kuthubitisha popular beleif kwamba doomsayers wooote wa JPM mmeishiwa cha kusema. Waswahili acheni primitive and cheap thoughts.
 
Back
Top Bottom