stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,122
- 28,025
Kwani mkuu hata wewe unafikiri ndivyo ulivyo!hukawii kuficha picha zako za zamani...View attachment 1112971
Mwl Majliwa mwenye shati la bluu enzi hizo akiwa anapiga chaki shuleni. Ukimuangalia ni kuwa alishaanza kuzeeka lakini sasa ni Waziri mkuu anaonekana kijana zaidi. Siasa inalipa sana!
View attachment 1112982
Alivyo sasa baada ya kula shavu la kisiasa