Mengi alikutwa kafa akiwa peke yake chumbani (hela ziko bank, na kimwana alikuwa anaangalia tv neksti ruum) amani iko complex mazeeTafuta pesa upate kuwa na amani
Haya we tafuta kitu chako ambacho kitakupa aman.mm pesa ndo inanipa amanMengi alikutwa kafa akiwa peke yake chumbani (hela ziko bank, na kimwana alikuwa anaangalia tv neksti ruum) amani iko complex mazee
Kumtumikia MUNGU ndio deal.Haya we tafuta kitu chako ambacho kitakupa aman.mm pesa ndo inanipa aman
Huyo ni wakwanzaKumtumikia MUNGU ndio deal.
Maana hata pesa ni zake.
Pesa sio za Mungu, pesa ni za Mzungu Ndio maana binadamu akifa haendi na uchafu wake wa makaratasi ya hela. Mungu hajawahi kuumba hela.Kumtumikia MUNGU ndio deal.
Maana hata pesa ni zake.
Kuna picha yake moja hivi ni kabambe sanaaa. Ile ambayo yupo na Makongoro Mahanga kama sikosei.
[emoji28][emoji28][emoji28]Hiyo moka
[emoji28][emoji28][emoji28]Hiyo moka
Tatizo lilikuwa ni kaziView attachment 1112971
Mwl Majliwa mwenye shati la bluu enzi hizo akiwa anapiga chaki shuleni. Ukimuangalia ni kuwa alishaanza kuzeeka lakini sasa ni Waziri mkuu anaonekana kijana zaidi. Siasa inalipa sana!
View attachment 1112982
Alivyo sasa baada ya kula shavu la kisiasa
Kama kweli ni yeye hapo juu, sio kwamba alikuwa ameanza kuzeeka bali alikuwa choka mbaya, hapo ukija upepo wenye kasi ilikuwa lazima akae chini kujisapotiView attachment 1112971
Mwl Majliwa mwenye shati la bluu enzi hizo akiwa anapiga chaki shuleni. Ukimuangalia ni kuwa alishaanza kuzeeka lakini sasa ni Waziri mkuu anaonekana kijana zaidi. Siasa inalipa sana!
View attachment 1112982
Alivyo sasa baada ya kula shavu la kisiasa