View attachment 3044966
PLOT FOR SALE MBWENI
Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa
Iko Mbweni mpiji inagusa lami
Ni sqm 1000
๐๐Ina Hati safi kabisa
๐Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo
๐Plot inataka milion 150 maongez kidogo
NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA KWA KUJENGA FREM ZA BIASHARA AU HATA KUJENGA NYUMBA YA MAKAZI