Please tell me, ' what women want from men' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please tell me, ' what women want from men'

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mani H, Apr 12, 2011.

 1. Mani H

  Mani H Senior Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  SALAM kwa wana mmu , naomba majibu yenu maana nadhan ndio solution yangu, kwa ufupi ninatatizo la kutodumu na wapenzi, mpaka hapa nilipo nishawahi kuwa na uhusiano na wanawake kama nane hivi kila mmoja kwa kipindi chake , ila lakunishangazi sijawahi kudumu na mwanamke yeyote zaid ya miezi sita, me ni mwamenifu yaani sijawahi kutembea na wapenzi zaid ya mmoja kwa wakati mmoja, ninajitaid kumjari mwenza wangu kadri ya uwezo wangu, ninajitaidi kumridhisha, na pia kutoa huduma zinazostahiki. ninafanya na mengine mengi yasiyoelezeka hapa but mwisho naambulia kutodumu nao na hii inaniumiza maana sipendi kubadilisha wapenzi mara kw mara, wapendwa naomba majibu na maoni yenu. ahsanten
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kawaida
  Uko kwenye kipindi cha searching
  wanne tu si mbaya usijipe pressure za bure..
  Relax akilitokeza yule ambaye umepangiwa
  Itakuwa ngumu kumuacha..
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  take ya tym
  akija EVA /HAWA mwenyewe hautotoka
  utatulia kaka
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanataka only two things

  1 a powerfull penis..

  2.cash to spend....

  Lol
   
 5. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  May be huwapa mtalimbo vizuri hvyo kutowaridhisha kamuone babu kwa ushauri mzuri
   
 6. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angalia kauli zako.Yawezekana una kauli za masomango kiasi kwamba kila anayekuwa nawe anaona afadhali ajiondoe mapema.
   
 7. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Duh hii kali

   
Loading...