Please Msifungue hii Thread kuna vitu vyangu vya siri nimeandika

Mateka

Senior Member
May 2, 2011
131
41
Wabongo bana Nimeshakuambia usifungue na bado umefungua.
Basi siandiki tena vitu vyangu vya siri nitaandika kwenye diary yangu.
Tuwe wastaarabu jamani..
 
Alifungua my wife wako kwa bahati mbaya na mimi nikiwa napita karibu yake nikachungulia.
 
Back
Top Bottom