The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,228
Hii Ndio SIRI Ambayo Imenichukua Miaka 03 Na Baada Ya Kusoma Vitabu...
...99+ Vya Mindshift Ikiwemo...
-Think And Grow Rich
-The Diary Of C.E.O
-Rich Dad Poor Dad
NA...
Vitabu Vingine KIBAO!...
Ndipo Nilipogundua SIRI Hii Ambayo Utaenda Kuiona ndani ya Sekunde 60 Zijazo. Unaweza ukawa unajiuliza ni siri gani hiyo?...
Well...
Hii Hapa Ndio Sababu:
AMOSI NYANDA Katika Kitabu Chake Cha 1$ CONVO Anasema Hivii:
"Kabla Hujaamua Kukomboa Mifuko Yako Komboa Kwanza Akili Yako"
Yaani...
Utajiri(Fortune) Inaanzia Kichwani Kwanza. Hii Inawezekanaje? Utajiuliza
Kitabu Cha Think And Grow Rich kinaeleza kwamba Unaweza Kuvuta Chochote Kwenye Maisha Kutegemeana Na MINDSET Yako Ilivyo.
Hii Inaitwa Law Of Attraction, yaani You Become What You Think Most Of The Time...
Uliyajuaje yote hayo?...
Na Hii Hapa Chini Ndio STORY:
Ilikuwa 24/12/2024 Mida Ya 1: 09am, Maeneo Ya Ubungo Jijini Dar Es Salaam.
Nilikuwa Ghetoni Nimepoa Kitandani.
Muda huo nimekosa usingizi kabisa Kwa Sababu Nilikuwa na maswali kibao. Ni Jinsi Gani Nitaweza Kupata PESA...
Basi bana. katika kuwaza sana nikakumbuka kwenye store yangu ya vitabu nina kitabu cha Think And Grow Rich...
Nikakifungua. Nikaanza kukisoma. Ndio nilipogundua siri hii wanayoijua 3% tu ya matajiri Duniani.
Je Ni Siri Gani Hiyo Mkuu?...
Well...
SIRI Ni Hii Hapa Chini:
99% Ya Vitu Vinavyotokea Kwenye Maisha Yako Vinaanzia Kichwani. Nina Uhakika Utaguna...
Kwasababu Ni SIRI Ambayo Wenda Hujawahi Kuisikia Au Kuijua...
Now...
Baada Ya Kugundua SIRI Hii...
Kuanzia Siku Hiyo Nilibadilisha Mindset Yangu. Tena Baada Ya Kugundua Kuwa MAUZO (Sales)...
Yanahususha MINDSET Kwa Zaidi Ya 90%...
NA:
Hivi Ndivyo Mauzo Yanavyohusisha MINDSET Moja Kwa Moja...
...Mauzo Yanahusisha Vitu Hivi Hapa...
-Sauti(Tonality)
-Ishara Za Mwili(Body Language)
-Maneno(Words)
Ambapo Sauti na Ishara za Mwili Zinachukua 90% Ya MAUZO...
Lakini Maneno Yanachukua 10% Tu...
Je Ni Kwanini Nakwambia Yote Haya?...
Ni Kwa Sababu Unatakiwa Una Kwamba MAUZO...
...Ni Game Inayoanzia Kichwani Kwanza...
KWAHIYO...
Bila kuwa na MINDSET Sahihi Hata Namna Ya Kufanya Mauzo Itakusumbua...
Hope Umepata Kitu Familia!
It's Vedastus
90% ya Mauzo Ni Game Inayoanzia Kichwani...
Huwezi Kuuza Bidhaa/Huduma Ya 100k Kama Una Mindset Ya 50k..