Play Gal ( Tina zoa zoa)

Play Gal ( Tina zoa zoa)

Nina waswas na Revenge ya Tina itakuwa sio la nchi hii
Kisasi chake nadhani hata commando ya arnold au first blood ya rambo zitakuwa za kitoto. Wanaume wote watakuwa adui zake. Naomba nisikutane na tina zoa zoa mpaka dunia yangu inaisha maana atakupa ufundi wote huku anakuua kwa utamu wake
 
Ilipoishia... ....pia Jerry akishajua
amekuambukiza hapo hapo
lazima akutimue kwake, yani ndio
mchezo wake huo.."
"...unasemajeee..?
'
Endelea...
"..sasa 'aunt' huniamini au..?"
"..embu chukuwa hela yako nishushe hapa hapa
na endelea na safari yako.."
Maneno makali aliyokuwa amenijaza yule dereva
wa bajaj, yalikuwa yameamsha hasira zangu upya,
nilimpatia hela yake akaniacha mitaa ya pale 'Ocean road..
Nilijisogeza mpaka karibia na casino ya 'las Vegas'
nikaingia pub moja inaitwa 'Jolly'..
"..nipe Savvanah dry ya baridi.."
Siku zote hasira zikinizidia huwa napenda kunywa
pombe. Mhudumu aliniletea nikanywa, nikaongeza ya
mwisho nikanywa nakumpatia hela yake.
Nilivyomaliza nikaendelea kujikokota taratibu
huku nikitafuta uelekeo wa chuoni kwetu.
Hakukuwa na haja ya kukodi tena bajaj wala tax
japokuwa zilikua nyingi pale nje huku nikiamin hata kama nitakodi yatakuwa tena yale yale
aliyoniambia yule wa bajaj muda si mrefu..
Nikiwa ndio nakaribia kuingia chuoni mara simu
yangu ikaita tena huku mlio ukitokea kwenye
kipochi changu..
Haraka haraka nikaichukuwa nakuipokea.. "..hellow.."
"..jamani Tina hivi kweli leo umeniacha hivi hivi
shosti wangu.."
"..yaani Aisha ni booora hata ningeondoka na
wewe, kwanza hata hivyo nimeshafika hapa hostel
nakuja kukupa yaliojiri huko shosti.. Nilipofika tu nilimtoa Aisha mpaka nje nakuanza
kupiga naye stori usiku kutwa huku nikimficha
kitendo alichonifanyia Jerry na hata sikumwambia
kuwa Jerry kaathirika..
"Hiyo mbon kazi ndogo tu Tina, we cha maana nipe
namba yake ya simu kesho kesho atajuta kilichomtoa pemba nakuja bongo kufanya
umalaya wake.., na hivi kesho wikiendi..? Mbona
atapatikana tu shosti.."
Alisema Aisha kwa kujidai huku akinishika mkono
nakuingia ndani kulala.. *** Asubuhi na mapema Aisha alikuwa mtu wakwanza
kuniamsha huku akiitaka namba ya Jerry.. Nilimpa
pale pale akampigia simu,
"..jamani Jerry yani mara hii umeshanisahau..?
Anyway leo mie siendi kazini tunaweza
kuonana..?" Aisha aliongea na Jerry kwa simu huku akijiamini
kwa asilimia zote,
"..shosti yangu Tina, hili limeshapatikana hapa.."
"..enhe, kakwambiaje..?"
"..kaniambia Jioni ya saa 12 tukutane pale 'chaga
bite' Namanga.." Muda wote tulikuwa tunaisubiri hiyo saa 12 ifike
haraka. Hatimaye ilifika na Jerry alikuwa fasta
kumpigia Aisha simu, hivyo tukaenda mpaka pale
na kumuacha Aisha huku mie nikijificha.
Haikuchukuwa muda nikaiona gari ya Jerry,
hakutaka kushuka hivyo Aisha alimfuata nakuingia ndani ya gari kisha wakaondoka.
"..ninavyomjua Jerry lazima atakuwa anampeleka
kwake tu.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiita bajaj upande
wa pili fasta..
"..unaiona ile gari mbele, ifukuzie mpaka mwisho wake.."
"..ile si gari ya Jerry mtata, na tena jana usiku
alimfanyia visa dada mmoja nikampakiza mpaka
'las vegas' lakini kama atakuwa hajaambukizwa
yule? Kwanza kwa Jerry huwa hapon..
Nilijikaza nakujifanya kama siyo mimi niliyepanda bajaj yake jana usiku..
"...hayo maswali mengi yanatokea wapi wee..?"
Nilivyosema tu hivyo akanyamaza kimya huku
akiniendesha. Mwendo wa kawaida aliokuwa
akiuendesha Jerry kwenye gari lake lililokuwa
mbele yetu, ilinifanya kujawa na duku duku rohoni huku nikiamini Aisha atakuwa anafanyiwa kama
nilivyofanyiwa jana..
"..kama hashikwi mapaja basi atakuwa
anachezewa maziwa, na Aisha anavyopendaga
hivyo mhh.."
Nilijikuta najiuliza mwenyewe kimya kimya huku hasira zikinizidia kwa kuendelea kuitolea macho
gari ya Jerry, mpaka ilipokata kona ya kuingia
kwake..
"..sasa we nishushe hapa hapa.., unanidai sh.
Ngapi..?"
"..elfu 3 tu itanitosha.." Nilimpa hela yake yule dereva bajaj nakuanza safari
ya kuinyemelea gari ya Jerry..
Giza lilikuwa limeshaanza kutanda hivyo ikawa
rahisi kutojulikana Tina mie..
Kwa namna tulivyokuwa tumepanga na Aisha
nikuwa atangulie kuingia na Jerry, kisha afanye kila njia yakumchanganyia Jerry vidonge vya
usingizi, iwe kwenye juici au chochote
watakachokunywa na akifanikiwa anipigie simu ili
niingie ndani..
Nilijificha pale karibu na geti la kuingilia kwa Jerry
takribani nusu saa bila yakupigiwa simu yeyote kutoka kwa Aisha, niliogopa endapo nitapiga mie
mchezo wote ungevurugika..
Muda ulizidi kuyoyoma, nilikaa kama lisaa 1 na
nusu ndipo nikapata meseji kwenye simu yangu..
Kuiangalia imetokea wapi? Naliona jina
limeandikwa Jerry, nilihisi vidole vinanitetemeka huku kama presha ya ajabu inaninyemelea..
"..nilijua tu Aisha kichwa box ona sasa inshu,
atakuwa ameshashtuka tu Jerry.."
Niliusemea moyo huku nikiifungua ile meseji kwa
spidi nijue kilichoandikwa mule ndani yake..
"..KAZI IMESHAKWISHA HUKU FANYA HARAKA UKO WAPI..?"
Bado nilikuwa sijielewi elewi kwa aliyoituma ile
meseji, nilichokifanya nikaifuta ile meseji
nakumpigia Aisha ili nipate kujua ukweli wa hii
meseji..
"..enhee vipi shosti umepata meseji yangu..?" "..ipi hiyo tena..?"
"..si nimekutumia hapo kwenye simu ya Jerry, we
uko wapi saa hivi..?"
"..nipo hapa nje karibia na geti la huyo malaya
Jerry.."
"..nisubirie hapo hapo nakuja kukuchukuwa.." Ndani ya dakika chache Aisha alikuja
kunichukuwa huku kichwani nikijiziba kwa
mtandio ili yule mlinzi asinitambue kwani jana
aliniona nilivyotoka japo ilikuwa usiku sana.
Tulipitiliza hadi chumbani kwa Jerry tukamkuta
kalala fofofo hajielewi, "..haya jitu lako hili hapa hata halijitambui, nililipa
maji haya hapa niliyoyachanganya na vidonge vya
usingizi nikaona haitoshi, liliposinzia tu
nikaliongeza na sindano ya usingizi hii hapa.."
"..nakuaminia shosti wangu wee wa ukweli..."
"...mie ndio Aisha bwana utaniambia nini nishindwe kufanya..? Ila dah Jerry anajua
kumuandaa mwanamke kabla ya kufanya
mapenzi.."
"..yeah Jerry anajua kweli, kwani ulimpa..?"
"..anhaaa we Tina vipi wewe, yani anilegeze vyote
nakunijaza minyege halafu aniache hivi hivi tu..?" "..hujanijibu vizuri Aisha, inamaana Jerry umesha
sex naye..?"
"..si ndio nakuambia Jerry mtamu, nilimpa kavu
kavu aliniambia hana kondomu nikamuelewa.."
"...Aishaaaaa.."
"..yani nakwambia Tina, Jerry amenitoa nyege zangu zote.. Tena alinibembeleza nikampa
akanifanya na nyuma kabisa.."
Aisha alinijaza hasira sana, sikutaka kumwambia
nilichoambiwa na watu kuhusiana nakuathirika
kwa Jerry na makusudi anayof anya kwa
wasichana.. Nilichokifanya nilifungua kipochi changu nakutoa
viwembe..
"..Aisha huyu Jerry si anajifanya kicheche siyo..? Mie
nataka nimtahiri kwa mara ya pili hapa..."
"..mh aha ha ha Tina usifanye hivyo hapa
chakumkomoa nikumpa chanjo nyingi kwenye dude lake hili.."
Aisha alishika ile nanii ya Jerry huku mie nikichanja
chanja maeneo ya juu na damu kumtoka nyingi,
Jerry alikuwa bado yupo usingizini muda wote
huo,
"mie nayakata haya madude yake tuondoke nayo Aisha.."
"achana naye kwanza hapo tu alipo usingizi
ukimuisha atalia sana nadhani utakuwa mwisho
wa umalaya wake.."
Tulipomaliza zoezi lile lakumchanja chanja Jerry
sehemu zake za siri haswa sehemu ya kichwa kile cha juu ndicho nilikichanja chanja haswa.
Tukatoka mpaka getini lakini mlinzi akatuzuia
kutoka..
"..mbona mnatoka wenyewe..? Bosi Jerry yuko
wapi..?"
Yule mlinzi akaushikilia ufunguo wake wa getini vizuri huku anamuita bosi wake Jerry kwa sauti
akienda mpaka mlangoni nakutaka kuingia...
 
pole Tina kwa yaliyokukuta masikini ila dereva wa bajaji mbea anaweza kukuua ghafla yanahusu nn yote hayo jamaan
 
Hapa napata msosi nikishushia play gal taratibu,ila mchizi sio anafumua mademu marinda tu hataree.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom