Plane crash at Kabuku!

Kwanza JK pole sana, maana ndo anawakilisha umiliki wa ndege hizo. Pili wenye ndug uwaliofariki nanyi pia poleni sana:A S-rose:.

Serikali ni lazima iseme chanzo cha ajali hii; lazima tujifunze kutoka kwenye makosa yetu, bahati mbaya ni chache sana katika air transport.
 
Mungu ashukuriwe haikugongana na Basi la abiria....Soon tutasikia kuna tume ya kufuatilia ununzi wa ndege na sababu za ndege yenyewe kupata ajali....akishakabidhiwa mkulu wetu anaitia kabatini. watu wa tume wanakua washachukua chao mapema na waathirika wa ajali hakuna wa kuwajali zaidi ya kupewa POLE kupitia TBC......
 
Ndege yapata ajali na kuanguka Kabuku, Tanga

Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya mchana kupitia TBC1, ndege ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ya kituo cha Ngerengere mkoani Morogoro imeanguka katika eneo la Manga-Kabuku mkoani Tanga.

Ndege hiyo ilikuwa katika mazoezi na ilipata hitilafu hivyo ikabidi kutua kwa dharura katika barabara na hivyo kusabisha kugongana uso kwa uso na basi lililokuwa limebeba watalii lililokuwa katika eneo hilo la barabara.

Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu watatu ambapo wawili walikuwa ni marubani na mmoja wao alifariki papo hapo. Imeripotiwa kuwa hakuna abiria yeyote katika basi la utalii aliyepoteza uhai.

Ndege hiyo imesababisha barabara isipitike na hivyo kukwamisha usafiri kwa abiria wanaotoka na kuingia kwa kutumia barabara inayounganishwa na mikoa ya Kaskazini na ile inayounganishwa na mkoa wa Pwani.

ndege-yapata-ajali-na-kuanguka-kabuku-tanga.html

[video]http://www.wavuti.com/4/post/2010/06/ndege-yapata-ajali-na-kuanguka-kabuku-tanga.html[/video]
 
Nimesikia ni helikopta ya jeshi imepata ajali tena. Yule kuwadi wa rada Shailesh Vithlani, aliiuzia serikali helikopta feki za jeshi 4. Hii ni helikopta ya 3 sasa kati ya hizo 4 kuanguka na kuuwa wanajeshi na raia kama 10 sasa. Huu ni uuwaji (This is cold-blooded murder), si swala la ufisadi tu.

BACKGROUND

New revelations on military helicopters deal: Deliberately overpriced by close to $20m

-Govt duped into buying same model earlier rejected by former army chief
-Name of Merlin International crops up yet again

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam


IT has now been revealed that the Ministry of Defence and National Service paid a vastly inflated price for the same helicopters it had earlier officially rejected as being unfit for military use.

According to latest THISDAY findings, the ministry paid more than $9m (approx. 11bn/-) for each of the four Agusta Bell choppers, which was almost double the actual unit price of around $4.7m (approx. 6bn/-), going by prevailing market prices.


This means that defence ministry officials squandered a total of $18.25m (about 22bn/-) in overpaying for the helicopters under dubious circumstances.


Government sources familiar with the deal have now informed THISDAY that the Agusta Bell helicopter model 412 EP bought by the ministry a couple of years ago are soft-skin, civilian aircraft and not standard military choppers.


’’The helicopter model and specifications bought for the army is similar to the one currently being used by the police force,’’ a government aviation expert said.


The Minister for Defence and National Service, Prof. Juma Kapuya, was not immediately available for comment yesterday to respond to the latest findings with regard to the controversial defence contracts.


It is understood that the then Chief of Defence Forces (CDF), General Robert Mboma, had earlier rejected the Agusta Bell helicopters on grounds that they were designed for commercial flights and not military operations.


General Mboma, a former commanding officer of the Tanzania Peoples’ Defence Forces (TPDF) Air Wing, is said to have preferred the French-made Cougar AS 532 helicopters, which are described as being more appropriate for military use.


According to our sources, it was on General Mboma’s recommendation that TPDF in 1998 entered into an agreement with a Dar es Salaam-based firm for the supply of the Cougar helicopters, manufactured by the Eurocopter company in France.


’’However, unexpected delays cropped up and the tender was finally wrestled away from the local company that had initially won the contract,’’ said one of our sources.


At this point, it has now been disclosed that another city-based firm - Merlin International Limited - somehow manoeuvred its way into the contract for the supply of the helicopters to TPDF.


But in a surprise move, after succeeding in elbowing out the company that had won the tender in the first place, Merlin is understood to have later supplied to the government the same Agusta Bell civilian choppers that had previously been rejected by the army.


Merlin International Limited is the same company linked to the supply of the controversial $41m (approx. 52bn/-) military radar system, the sale of a $40m (50.7bn/-) Gulfstream presidential jet to the government, and the supply of over 600 IVECO military trucks for over 90bn/-.


The company’s majority shareholder, businessman Shailesh Vithlani, is reported to have worked closely with a network of influential local partners, including high-ranking government officials both current and retired, to secure the lucrative defence contracts.


The then Prevention of Corruption Bureau (PCB) and Britain’s Serious Fraud Office (SFO) have been separately investigating the radar deal in the wake of revelations that $12m (approx. 15bn/-) worth of illegal kickbacks were paid to several top officials to approve the controversial deal.


The money, said to have been secretly paid by the UK arms manufacturer company BAE Systems into a Swiss bank account, has allegedly been linked to Vithlani and other members of his local network.
 
Na huyo rubani badala ya kuiangushia porini akaamua kufa na watu barabarani. So sad
 
Tetesi zaidi kutoka kwa mjeshi mmoja ni kuwa ilikuwa ni jet fighter mpya, si helikopta ya Vithlani. Ndege iliishiwa mafuta ikiwa angani, rubani akajaribu crash landing ndiyo ikawa ajali. Waliokufa ni wanajeshi wawili -- Luteni na Major. Jet fighter yenyewe haina hata miezi 5 tangu inunuliwe na ilikuwa mazoezini. Ni pigo kubwa sana kwa JWTZ ambalo swala la vifaa (military capability) kwa airforce yake ni jambo lenye mgogoro mkubwa sana kwa muda mrefu sasa!

Tusubiri statement rasmi ya JWTZ itasemaje. Ndugu zetu mlio kwenye newsrooms tunaomba mtuwekee statement kamili ya jeshi punde tu ikitoka ili tuisome wote na kuitafakari kwa pamoja.
 
kwani wakifa nguruwe si viumbe?

Mkubwa, nilijua kuna mjali wanyama hapa atauliza kitu kama hicho. Ni hivi:

Kristo alikuwa anatoa majini kwa binadamu anayatupa kwa nguruwe!

Kwa hiyo, kama unaamini Mungu wa Ibrahim, basi nguruwe ni kiumbe kisicho na thamani. Mungu wetu huyu hathamini wanyama! Ndo maana nikasema, Mungu gani huyo wa kumwambia "ahsante ndege haikuangukia basi la abiria," kwani hao waliokufa nguruwe? Kwa hiyo wewe binadamu unajali wanyama kuliko maadili ya Kristo, ya Mungu. Mungu gani huyo kapitwa maadili?

Eti Mwanakijiji, tumshukuruje Mungu aliyeua watu eti kwa sababu hakuua basi zima? Kama yupo.


... kwa JWTZ ambalo swala la vifaa (military capability)
Vifaa maana yake "military capability" ?

Nilidhani umetuambia iliishiwa mafuta.
 
...kwa nilivyosikia mimi ni zile jet za mwaka 47 zinazotumika kwenye sherehe mbali mbali za kitaifa ambazo mbele badala ya kuwa na ncha kali kama sindano zenyewe zina kama tundu hivi kuonyesha zilivyo za zamani. TBC wamesema liligongwa si basi as such bali yale malori ya kitalii ambayo mbele ni lori ila bodi ni ya basi. walikuwa ni watalii wanatoka Lushoto kuja dar kupamda ndege kurudi makwao. bila shaka watakuwa wamepata kitu cha kusimulia for the rest of their lives!

Kwa hakika, haya ni yale matukio ya moja katika milioni moja. Basi la abiria Watalii kugongwa na ndege! zingekuwa enzi zetu zilee za COLD WAR na IRON CURTAIN tungesema kuna neno....RIP Marehemu na mwanga wa milele muangaziwe.
 
Tetesi zaidi kutoka kwa mjeshi mmoja ni kuwa ilikuwa ni jet fighter mpya, si helikopta ya Vithlani. Ndege iliishiwa mafuta ikiwa angani, rubani akajaribu crash landing ndiyo ikawa ajali. Waliokufa ni wanajeshi wawili -- Luteni na Major. Jet fighter yenyewe haina hata miezi 5 tangu inunuliwe na ilikuwa mazoezini. Ni pigo kubwa sana kwa JWTZ ambalo swala la vifaa (military capability) kwa airforce yake ni jambo lenye mgogoro mkubwa sana kwa muda mrefu sasa!
Shukrani kwa taarifa hii mkuu
 
Tetesi zaidi kutoka kwa mjeshi mmoja ni kuwa ilikuwa ni jet fighter mpya, si helikopta ya Vithlani. Ndege iliishiwa mafuta ikiwa angani, rubani akajaribu crash landing ndiyo ikawa ajali. Waliokufa ni wanajeshi wawili -- Luteni na Major. Jet fighter yenyewe haina hata miezi 5 tangu inunuliwe na ilikuwa mazoezini. Ni pigo kubwa sana kwa JWTZ ambalo swala la vifaa (military capability) kwa airforce yake ni jambo lenye mgogoro mkubwa sana kwa muda mrefu sasa!

Tusubiri statement rasmi ya JWTZ itasemaje. Ndugu zetu mlio kwenye newsrooms tunaomba mtuwekee statement kamili ya jeshi punde tu ikitoka ili tuisome wote na kuitafakari kwa pamoja.

Hizo tetesi itakuwa ni mwanajeshi amabaye hana acess hata ya department ya airfoce. ameongea hayo kama mimi navyoongea hapa.

hata mtu aiyekuwa na utalaamu wa ndege lakini mwenye elimu kidogo hawezi kutoa tetesi za kusema sababu ya ndege kuanguka ni kuishiwa mfuta. Probability za hii kutokea hata kama jeshi au shirika lolote la ndege liko corrupt kiasi gani ni 0.000000001

Better huyo mjeshi kama anajua angesema mafuta ya ndege yalichanganywa na mafuta ya taa au incomptent pilot teh teh teh teh teh. Kamwambae huyo mjeshi aache tetesi za uongo na kitoto sio kwa kuwa ni mjeshi atakuwa na informed na right information kuhusu JTWZ

It sad news tusubiri taarifa za kupikwa

Any way hivi kujua JWTZ ina fighter jet ngapi ni kosa ?
 
Gen. Robert Mboma alinunua ndege zilizotengenezwa mwaka 1979 kwa kushirikiana na akina vithlan na matapeli wengine. Sasa tusubiri kuanguka kwa ndege ya rais
 
Gen. Robert Mboma alinunua ndege zilizotengenezwa mwaka 1979 kwa kushirikiana na akina vithlan na matapeli wengine. Sasa tusubiri kuanguka kwa ndege ya rais
He! we bwana we, hilo si la kusubiri tutafute njia za kuepusha.
 
Nahisi itakuwa yale mafuta yetu ya kuchakachua ndio yamenzisha maafa kwenye ndege
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom