Waungwana almost matokeo ya uraisi yanajulikana yatakuaje,ingia kweny link hii upate majibu.
Mwananchi Election Editions
Mwananchi Election Editions
Waungwana almost matokeo ya uraisi yanajulikana yatakuaje,ingia kweny link hii upate majibu.
Mwananchi Election Editions
Jamani wana Jf naomba mfuatilie habari kuhusu Shinyanga mjini,nimeambiwa kuwa Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi wamejiuzuru. Nasikia na JK yupo Shy. Watu wanapigwa na mabomu ya machozi. Nimetumiwa msg na jamaa wa huko Shinyanga. Waliopo huku naomba data. Ila nasikia mgombea wa Chadema ameshinda kwa Shinyanga mjiniWaungwana almost matokeo ya uraisi yanajulikana yatakuaje,ingia kweny link hii upate majibu.
Mwananchi Election Editions
nafuatiliaJamani wana Jf naomba mfuatilie habari kuhusu Shinyanga mjini,nimeambiwa kuwa Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi wamejiuzuru. Nasikia na JK yupo Shy. Watu wanapigwa na mabomu ya machozi. Nimetumiwa msg na jamaa wa huko Shinyanga. Waliopo huku naomba data. Ila nasikia mgombea wa Chadema ameshinda kwa Shinyanga mjini