Elections 2010 Plan yauchakachuaji ipo hivi.

Waungwana almost matokeo ya uraisi yanajulikana yatakuaje,ingia kweny link hii upate majibu.

Mwananchi Election Editions

Ni kweli Slaa hazidi 25%. Anyway CCM pia zitapungua kweli! Ni nzuri kwa CCM sababu mawaziri wa JK watakuwa na changamoto sana, na hawatakuwa wanapwaya kama wakati uliopita. Tchaoooo!
 
Nitafarijika sana hili zoezi la kuhesabu kura litakapokwisha
 
Waungwana almost matokeo ya uraisi yanajulikana yatakuaje,ingia kweny link hii upate majibu.

Mwananchi Election Editions
Jamani wana Jf naomba mfuatilie habari kuhusu Shinyanga mjini,nimeambiwa kuwa Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi wamejiuzuru. Nasikia na JK yupo Shy. Watu wanapigwa na mabomu ya machozi. Nimetumiwa msg na jamaa wa huko Shinyanga. Waliopo huku naomba data. Ila nasikia mgombea wa Chadema ameshinda kwa Shinyanga mjini
 
nafuatilia
 
Back
Top Bottom