JINSI ChatGPT inavyo weza kukusaidia kuitwa kwenye usahili na kupata ajira.

matemabi

Senior Member
May 2, 2017
103
125
Ipo hivi, akili mnemba au kwa kimombo Artificial intelligence AI's zimekuwa nyingi sana sikuizi. Ila hii ChatGPT imekuwa msaada mkubwa kwa watafutaji ajira.

Fanya hivi fungua account ya ChatGPT, tafuta tangazo la kazi, chukua majukumu ya kazi copy alafu ka paste pale kwenye chatGTP field ya kuandika kisha ongezea maneno kwamba itumie experience yako ya kazi taja pale ulifanya kazi wapi mwaka na kitengo gani.

Kisha mwambie akuandikie barua. Utashangaa... kifatacho ni kurekebisha maeneo machache ili barua kuendena na mahitaji yako.

Ingia kwenye link hii kuelewa zaidi

Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom