Plan B ya NEC kuwalisha kiapo makada wa CCM kujitoa chama

Kikubwa wakitaka tume huru ya uchaguzi wawachukue mashehe na mapadri ndio wawe wasimamizi wa uchaguzi hapo ndio uchaguzi utakuwa huru sana
 
Vyama vya upinzani wapeni kazi vijana watafute na wahifadhi picha na majina ya wadau wengi waccm kila wilaya.
Safari hii hawana mpango wa kutumia walimu maana waliwaangusha uchaguzi 2015.
Hizo picha zitakuwa vithibitisho vya hao, wasimamizi. Na siku chache kabla ya chaguzi muwaeleze wananchi ukweli.
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Hoja ya kijinga kabisa!

Hivi ni halali mamluki wa CCM kusimamia uchaguzi? Hawa mamluki wa CCM ndani ya NEC ndio ambao siku moja wataipeperusha amani ya nchi.
 
Wakurugenzi kusimamia uchaguzi si kwa maslahi mapana ya taifa,bali ni kwa maslahi mapana ya ccm na vibaraka wao
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
 
Heri yangu huu ujinga wa kupiga kura na kushabikia siasa nishaachaga kitambo,
 
Nilishasema Hawa jamaa ccm washajipanga washapata formation
Wakatayo itumia

Ova
 
Kikubwa wakitaka tume huru ya uchaguzi wawachukue mashehe na mapadri ndio wawe wasimamizi wa uchaguzi hapo ndio uchaguzi utakuwa huru sana
Wala hakuna haja ya masheikh na mapadre kusimamia! Ni njia nyepesi sana! Ni makundi yote ya kijamii kukutana na kuchagua wawakilishi wao! Kisha Rais atawaapisha kuwa wajumbe wa Tume huru ya uchaguzi.
 
Baada ya wakurugenzi wa uchaguzi kukataliwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi sasa NEC wamekuja na fomu mpya ya kuwahalalisha makada wa CCM kurudi kwa njia ya panya kuwa wasimamizi eti watawaapisha kuwatoa kuwa wanachama wa CCM.

Hii ni ajabu kwanini CCM hawajiamini katika kampeni ya ushawishi bila ujanjaujanja?
Unge declare interest kwanza kwamba wewe ni mbulula
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
We jinģa sijui umètokea wap naona umeibuka frm no where unaandika utumbo tu
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa

Hanithi mkubwa ww, hao wananchi wengine hawana haki na nchi hii na wala hawastahili kupata kazi kama sehemu ya mgawanyo wa keki ya taifa, zaidi ya hao wakurugenzi waliohongwa vyeo na ccm? Kwahiyo wakurugenzi ndio hawawezi kupewa hizo 200m na kupitisha mtu mwingine?
 
Unge declare interest kwanza kwamba wewe ni mbulula
wewe kabila gani? maana hiyo lugha haieleweki kiswahili si kiswahili na wala kiingereza si kiingereza. sasa hiyo lugha inatoka.........................
 
Baada ya wakurugenzi wa uchaguzi kukataliwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi sasa NEC wamekuja na fomu mpya ya kuwahalalisha makada wa CCM kurudi kwa njia ya panya kuwa wasimamizi eti watawaapisha kuwatoa kuwa wanachama wa CCM.

Hii ni ajabu kwanini CCM hawajiamini katika kampeni ya ushawishi bila ujanjaujanja?

Mtoa post hebu jitahidi kujifunza mambo kabla ya kuanza kukosoa, kwa mujibu wa sheria ya taifa ya uchaguzi kabla ya wasimamizi wa uchaguzi hawajaanza kutekeleza majukumu yao sheria inawataka wale kiapo cha kujitoa uachama wa chama cha siasa na hiyo ni sheria iliyotungwa na Bunge kwa hiyo hilo sio suala la NEC ni wabunge wenyewe waliotunga na kupitisha hiyo sheria.Mi nakushauri kabnla hujaanza kuropoka humu soma sheria zinazsemaje.
 
wewe ndio hufahamu. kiapo unachozungumzia wewe ni kiapo cha uaminifu ambacho hata mawakala huapa. mimi nazungumzia fomu namba 7 ilioundwa na NEC hivi karibuni ya kuwaondoa uanachama MAKADA wa ccm. Sheria inasema marufuku mwanachama wa vyama vya siasa kusimamia uchaguzi sio kutoa fomu ya kumtoa mtu katika chama
 
Uchaguzi wasimamie TLS hapo mzizi wa fitina utakua umekatwa...
 
Baada ya wakurugenzi wa uchaguzi kukataliwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi sasa NEC wamekuja na fomu mpya ya kuwahalalisha makada wa CCM kurudi kwa njia ya panya kuwa wasimamizi eti watawaapisha kuwatoa kuwa wanachama wa CCM.

Hii ni ajabu kwanini CCM hawajiamini katika kampeni ya ushawishi bila ujanjaujanja?
Hata kama mabadiliko hayata fanywa lakini nina furaha kuu kwamba ufahamu na uelewa wa watz juu ya masuala ya sheria na haki umeongezeka pakubwa.
Hii ni dalili njema wa kuanza kuwapata viongozi wa watu na si viongozi wa vyama
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
mimi nataka maslahi membamba hayo mapana kaa nayo.
 
Hhahahhaa, wasubiri hukumu ya mahakama ya rufaa, mbona mxhecheto. Hukumu bado wao wanahangaika? Au wamwsikia wameshindwa
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Pumbavu!
 
Shwaini jifunze kuheshimu maamuzi ya mahaksma
 
Back
Top Bottom