chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.
Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?
fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?
wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa