Plan B ya NEC kuwalisha kiapo makada wa CCM kujitoa chama

chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Matako kweli wewe.
 
Wangekuwa si makada wa CCM sawa.....
 
Kiazi mbatata kilichooza
 
Uchaguz gan hukuwa huru na haki? Kwa vigezo gani?
huwa wanasema uchaguzi wa mbeya , tanga mjini, iringa mjini, hai, kawe , ubungo, kibanda and the likes ulikuwa wa huru na haki kwa sababu washindi wametangazwa wanaotaka wawe
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
"Mkurugenzi nimekuteua mimi, mshahara nakulipa mimi, halafu eti unatangaza mpinzani kashindaaa!!!"
 
huwa wanasema uchaguzi wa mbeya , tanga mjini, iringa mjini, hai, kawe , ubungo, kibanda and the likes ulikuwa wa huru na haki kwa sababu washindi wametangazwa wanaotaka wawe
Yaani tume ya uchaguzi ina double standard. Majimbo fulani uchaguzi unakuwa huru na haki na Majimbo mengine hakuna uhuru na haki! Wonderful enough!
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Mamluki ndyo wakina nani?

Kwa point yako mamluki unamaanisha watu makada wa vyama vingine. Umedhajengea akili yako kuwa ni ccm pekee ndyo inafaaa kusimamia uchaguzi. Huu upuuzi mnaotaka kuendelee huwezi ukuta kwenye nchi zilizoendelea.
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Uko nyuma ya wakati, suala la wakurugenzi kutumika lilishapita na NEC imeshakubali yaishe. Watanzania wote wapewe nafasi sawa ya kutumika na sio ujanja ujanja wa kutumia makada wa chama tawala
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Hapa ni kama unasema kuwa ccm inapora haki za wengine kwa maslahi ya taifa! Ujinga kabisa
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Ingelikua ni kwa maslahi mapana huko mahakamani wasinhetengua vifungu vinavyowahalalisha wakurugenzi itakua hoja za serikali hazikua na mashiko hivyo ikawa hakuna budi kutengua vifungu hivyo
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
We boga kweli kweli... Wakurugenzi hawa wanaojificha kutoa form za kugombea kwa wapinzan ili Wanaccm wapite bila kupingwa ndio wanafanya kwa madlai ya taifa??
Tafadhali shirikisha ubongo wako sometimes
 
Yaani tume ya uchaguzi ina double standard. Majimbo fulani uchaguzi unakuwa huru na haki na Majimbo mengine hakuna uhuru na haki! Wonderful enough!
Hacha kukejeri we shoga, kilichotokea korogwe ktk uchaguzi wa marudio hukukiona??? Shoga weee... Kauze tu nanihi yako paleeee soko la vumbi
 
huwa wanasema uchaguzi wa mbeya , tanga mjini, iringa mjini, hai, kawe , ubungo, kibanda and the likes ulikuwa wa huru na haki kwa sababu washindi wametangazwa wanaotaka wawe
Naungana na wengine waliokupa majina ya ajabu hapo juu.
Wewe unafahamu wabunge hao waliotangazwa kutoka majimbo uliyotaja wameingiaje bungeni? Basi ilikuwa machozi, jasho na damu. Watu walikomaa kupinga wizi hadi wengine kuachwa majeruhi na vifo kutokea kwani wizi ilibidi ushindwe.
Sasa huo ni uchaguzi huru?
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
kwa hiyo taasisi zetu za serikali ni za ovyo sana wasijue kwamba hawa watu ni mamluki wakati wa vetting,basi huenda hata hao wa NEC ni mamluki pia
 
Baada ya wakurugenzi wa uchaguzi kukataliwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi sasa NEC wamekuja na fomu mpya ya kuwahalalisha makada wa CCM kurudi kwa njia ya panya kuwa wasimamizi eti watawaapisha kuwatoa kuwa wanachama wa CCM.

Hii ni ajabu kwanini CCM hawajiamini katika kampeni ya ushawishi bila ujanjaujanja?
Nia ya chama cha siasa ni kuingia ikulu.
 
Baada ya wakurugenzi wa uchaguzi kukataliwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi sasa NEC wamekuja na fomu mpya ya kuwahalalisha makada wa CCM kurudi kwa njia ya panya kuwa wasimamizi eti watawaapisha kuwatoa kuwa wanachama wa CCM.

Hii ni ajabu kwanini CCM hawajiamini katika kampeni ya ushawishi bila ujanjaujanja?
Huyu mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ana matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom