Plan B ya NEC kuwalisha kiapo makada wa CCM kujitoa chama

saidi kindole

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
311
Reaction score
796
Baada ya wakurugenzi wa uchaguzi kukataliwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi sasa NEC wamekuja na fomu mpya ya kuwahalalisha makada wa CCM kurudi kwa njia ya panya kuwa wasimamizi eti watawaapisha kuwatoa kuwa wanachama wa CCM.

Hii ni ajabu kwanini CCM hawajiamini katika kampeni ya ushawishi bila ujanjaujanja?
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
 
kwa hiyo maslahi mapana ya nchi ni wakurugenzi kupendelea ccm na kujificha kupokea fomu za wagombea wa upinzani
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Wakurugenzi wanaotokana na CCM Huku sheria mama ikikataa na sheria ya uchaguzi ikikataa. Sasa wewe unaweza ata kusema wanajeshi kua wanachama wa Chama kile cha CCM ni kwa maslai ya Taifa
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa
Hayo yatakuwa maslahi ya ugambani nasi taifa.
 
Kwa Yale Tulia bungeni Basi amani hailindwi.
 
Baada ya wakurugenzi wa uchaguzi kukataliwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi sasa NEC wamekuja na fomu mpya ya kuwahalalisha makada wa CCM kurudi kwa njia ya panya kuwa wasimamizi eti watawaapisha kuwatoa kuwa wanachama wa CCM.

Hii ni ajabu kwanini CCM hawajiamini katika kampeni ya ushawishi bila ujanjaujanja?
Bao la mkono
 
kwani kuna msimamizi wa uchaguzi ambae tunajihakikishia hawezi chukua 200m,na mkuu soma vizuri NEC inachukulia wasimamizi kwenye ofisi za chama ? mkuu danganya kwa kiasi basi
 
Baada ya wakurugenzi wa uchaguzi kukataliwa kuwa wasimamizi wa uchaguzi sasa NEC wamekuja na fomu mpya ya kuwahalalisha makada wa CCM kurudi kwa njia ya panya kuwa wasimamizi eti watawaapisha kuwatoa kuwa wanachama wa CCM.

Hii ni ajabu kwanini CCM hawajiamini katika kampeni ya ushawishi bila ujanjaujanja?
NEC ipi mkuu unasemea? Ya chama au ya serikali-chama?
 
chochote wanachofanya NEC ni kwa maslahi mapana ya nchi hii na si vinginevyo. kulinda amani, umoja na mshikamano ndio msingi wa NEC kabla na baada ya uchaguzi.

Suala wa kazi za NEC kuombwa na watu wa-apply linatia ukakasi, wanaweza kupatikana mamluki ndio wanapewa jukumu la kusimamia chaguzi zetu. hatima yetu ipoje? amani ipoje?

fikiria katika mazingira, wanaoomba kupewa kazi ya kusimamia uchaguzi wasiwe ni wa kudumu(wa muda tu) na hawakuwa na kazi yeyote kabla, ikatokea mtu anawaambia kuna milion 200 hakikisha nashinda, hali ipoje hapo?

wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi ni kwa maslahi ya taifa

Mkuu,Amani hailindwi kwa mambo kama haya uliyo ya ainisha.Amani ni kuhakikisha Haki inatendeka na ionekane inatendeka na sio blah blah kama hizi ulizo ziandika hapa.
 
Back
Top Bottom