Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,478
- Thread starter
- #41
uyo dogo akuoe wewe mtoa mada sababu unatabia za kike
[/QUOTE
Samahani dada. Wew ni yupi kati yao mchaga au mrangi
uyo dogo akuoe wewe mtoa mada sababu unatabia za kike
[/QUOTE
Samahani dada. Wew ni yupi kati yao mchaga au mrangi
Nikitoka humu nitatoka na ushaur mujarabHcho kikombe omba kikuepuke
Bila kujali ni mrangi au ni mkuryaWee ukishaoa ndio umeshakubaliana na yote hayo.... Ukweli ambao watu hatutaki kuukubali ni kwamba kunauwezekano mkubwa mkeo/mume kukuambukiza ngoma kuliko malaya.
Chunguza utabainiMkuu kwani warangi wakoje. Share nasi kdg hapa
🤣 🤣 🤣 khatupia picha zao...
Yote heriAliyeaminika akaombwa ushauri naye kaja kutuomba ushauri ili akashauri
Hapo ndo ujue hakuna binadamu mkamilifukweli sir Godi hakupi vyote, em cheki sasa, uyu ambaye hapigi vibom ana sura ngumu kama jiwe, uyo mrembo utakuta ni mpiga mizinga hatari
chagua mrangi atakupa hamasa ya kugegeda kutokana na uzuri wake
Nadhani alimaanisha kuwa inapokua na mke ambaye kwao hali ya kiuchumi ni nzuri inapunguza kama si kuondoa kabisa utegemezi ambao unatoka upande wa mke kama unavyojua familia za kiafrika. Unaweza kuoa mke na familia nzima ikahamia kwakoMwambie dogo ni fala huyo.
Yeye anampenda mtoto mkali ila ana tamaa za hela za dem wake wa tabata mwenye kazi na degree, sasa hela za kwao huyo dem wake zinahusu nini kwenye yeye kuchagua mke? Hela anatakiwa atafute zake na familia yake.
Sasa kwa iyo point yako pia unamaanisha na sisi vijana wa kiume ambao tunatoka familia duni tukose wake(mimi nimeshaoa).Nadhani alimaanisha kuwa inapokua na mke ambaye kwao hali ya kiuchumi ni nzuri inapunguza kama si kuondoa kabisa utegemezi ambao unatoka upande wa mke kama unavyojua familia za kiafrika. Unaweza kuoa mke na familia nzima ikahamia kwako
NimekuelewaSasa kwa iyo point yako pia unamaanisha na sisi vijana wa kiume ambao tunatoka familia duni tukose wake(mimi nimeshaoa).
Maana mimi nikifanikiwa siwezi kufurahia maisha mazuri pekeangu bila kuwashika mkono familia yangu na lazima niwasaidie.
Kuhusu familia yote ya mwanamke kuhamia kwako mbona hilo tatizo linasovika kama uwezo upo anawasaidia tu nduguzake hukohuko walipo.
Kama uwezo wa familia ya mwanamke nayo ni 'selection criteria' bas kwa huyo dem wake wa tabata haihusu maana huyo mwanamke ana kazi kuweza kusaidia familia yake hata kama ingekuwa duni.
Baadaye anauliwa akishapata Mali mchaga anabaki kujenga kwao. Hapo USA river nyumba nyingi wamiliki ni Wa mama Wa kichaga waume zao wameshatangulizwa.Hahahhaahah yani apo kanaswa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mara Mia mchaga anaweza pata shuruba za ndani Ila pesa anaweza kuzishaka Ila mrangi ata gongewa na pesa atakuwa anampa sasa achagua moja kunyoa Pannki au upara
Atulie tu, awe mtazamaji hapa,,
Mwambie dogo ajifanye amefukuzwa kazi, alafu kule ofisin achukue likizo,,
Atulie getto kula kulala alafu ajifanye ana mawazo,,
Aone nani atakuwa wa kwanza kuleta maneno ya shombo,[emoji23],
Atakaye zingua amfungie vyoooo
Na wakizingua wote basi awakimbize tu [emoji23][emoji3][emoji16]
Hii ndio mbinu mujaribuDuuu mkuu una akili niaje. MIE nilitumia mbinu kama hii sema nikiwa chuoni kuwa nime disco nikajua Mbivu na Mbichi. Sijaoa kisa kichwa cha chini kimekuwa na nguvu kuliko cha juu
You are very right Sir..Wee ukishaoa ndio umeshakubaliana na yote hayo.... Ukweli ambao watu hatutaki kuukubali ni kwamba kunauwezekano mkubwa mkeo/mume kukuambukiza ngoma kuliko malaya.
Nenda kwa mrangi lakn ujue hawajui kukataa wale muda wote k zao zinawashaLeo nimepokea sms kutoka kwa mdogo wangu ambaye huwa namshauri mambo mbali mbali ya maisha. Tafadhari soma attachments hapa chini alaf uache ushauri wako View attachment 1471462View attachment 1471463