Pitia hapa umshauri huyu dogo. Amuoe nani?

Pitia hapa umshauri huyu dogo. Amuoe nani?

Kaa mbali nae muache achague nwenyewe asije shindwana na utakae mshauri aanze kukutupia lawama,

Halafu hata uwe na wapenzi wawili lazima mmoja utakuwa unampenda zaidi

Muaxhe dogo achague mwenyewe.
Yeye alishachagua mimi anataka nimsogezee tu kati ya aliochagua
 
Kugongewa utagongewa tuu... Mwanamke pekee ambae naamini hutagogenwa ni yule uliyemkuta bikra siku ya harusi yako... Wengine wote ambao breeki ya kwanza pum.bu kaa ukijua atagongwa tuu maana tayari alishakuwa malaya.
Duh mbona ngumu kumeza hii
 
Si amesema yuko tayari kuoa yeyote kati ya hao wawili? Sasa anataka ushauri wa nini tena?

Au anatafuta mtu wa kumshushia lawama hapo baadae mamno yakienda kombo?

Hajielewi huyo, hakuna mtu anaweweza kupenda watu wawili kwa kiwango sawa. Lazima kuna upande mzani utashuka zaidi. Bhas ndio aelekee upande huo huo ambao mzani umeshuka zaidi.
Huu pia ni ushauri
 
Tatizo atagongewa sana hao na wanyaturu huwa hawakataagi
Mwambie kijana achukue mrangi... Hi, o degree hazina faida yoyote kwenye ndoa... Bora uchukue mrembo maana hiyo itakupa hamasa ya kuchepuka na wazuri zaidi ya mke wako....wakati wakuchangua ke degree haina value


Chengine Na maisha ya saizi si ya kuoa golikipa
 
Tena akae pembeni kabisa
Atulie tu, awe mtazamaji hapa,,

Mwambie dogo ajifanye amefukuzwa kazi, alafu kule ofisin achukue likizo,,

Atulie getto kula kulala alafu ajifanye ana mawazo,,

Aone nani atakuwa wa kwanza kuleta maneno ya shombo,[emoji23],


Atakaye zingua amfungie vyoooo

Na wakizingua wote basi awakimbize tu [emoji23][emoji3][emoji16]
 
Tatizo atagongewa sana hao na wanyaturu huwa hawakataagi


Chengine Na maisha ya saizi si ya kuoa golikipa
Bora nioe golikipa ila m, uri kuliko eti mke ana masters aladu sura wala chura hana... Hilo siwezi....alafu wee kaa ukijidanganya kuwa mtasaidiana... Unataka matusi ya reja reja.
 
Bora nioe golikipa ila m, uri kuliko eti mke ana masters aladu sura wala chura hana... Hilo siwezi....alafu wee kaa ukijidanganya kuwa mtasaidiana... Unataka matusi ya reja reja.
Nadhani hii pia ni hofu yake
 
Bora nioe golikipa ila m, uri kuliko eti mke ana masters aladu sura wala chura hana... Hilo siwezi....alafu wee kaa ukijidanganya kuwa mtasaidiana... Unataka matusi ya reja reja.
Ilo sawa .Sasa mkuu mzamzab akiwa anagongwa gongwa huko nje si ndo chanzo cha kukuletea maradhi ndani ?
 
Back
Top Bottom