Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,426
Wanawake wa kirangiLeo nimepokea sms kutoka kwa mdogo wangu ambaye huwa namshauri mambo mbali mbali ya maisha. Tafadhari soma attachments hapa chini alaf uache ushauri wako View attachment 1471462View attachment 1471463
Wanawake wa kihaya
Wanawake wa kinyaturu
Wanawake wa Kinyarwanda/ kinyankole
Njoeni mumsaidie mwa amke mwenzenu wakirangi nae aolewe maana kitabua mupo sawa japo mnatoka maeneo tofauti kijiografia ila kugawa hamjambo tena bila kutumia nguvuuu.
😂😂😂😂😂.
Mshauri dogoo aachane na warangi na makabila hayo nilioyataja ama sivyo awe ameshachimba kaburi na wale wajuba wa kucheza na jeneza kutoka ghana awe amewatumia tiketi ya ndege.