Pita hapa utoe ushauri: Hii inawezekana?

Pita hapa utoe ushauri: Hii inawezekana?

Usikilize moyo wako..... Kipimo ni moyo wako...

Kuna jamaa anadate ni demu wamepishana miaka 28..... Bado wanadunda mtaani ...

Sikiliza moyo wako,
Fanya maamuzi sahihi,
Simamia utekelezaji.
 
Naona maji yamekufika shingoni
kama vp chomoka usijezama
 
Mbona umeweza tayari akitokea mwingine kuuliza tayari we utakuwa mfano
 
Ila wanawake wanaokuwa na watu walio wazidi umri either ni mahusiano tu au ndoa mara nyingi wanaume huwa wanawasema vibaya
 
Habari za Jumatatu wanajamvi,

Direct to the topic,Je inawezekana kuwa na mahusiano na mwanamke alienizidi umri wa miaka 5, yani nikitembea nae huwezi kugundua kama tuna date, utahisi tu ni mtu na mdogo wake, hii huwa inanifanya nihisi inferiority na kutokujiamini.

Naombeni ushauri wenu
Hakuna shida wee endelea tuu labda Kama kafunga turbo charger
 
Habari za Jumatatu wanajamvi,

Direct to the topic,Je inawezekana kuwa na mahusiano na mwanamke alienizidi umri wa miaka 5, yani nikitembea nae huwezi kugundua kama tuna date, utahisi tu ni mtu na mdogo wake, hii huwa inanifanya nihisi inferiority na kutokujiamini.

Naombeni ushauri wenu
As long as wote mnapendana its Ok ila isiwe otherwise..
 
Mapenzi hayanaga umri, tatizo hilo la umri kama ungeliona mwanzoni hata usingekubaliana naye.
 
la
duuh kama amekuzidi miaka 5 lakini haonyeshi hapo poa, lakini kama anaonyesha waziwazi kua amekuzidi bro achana nae, wanawake wapo wengi, au huyo ana nini hadi umeamua ku trade hiyo ishu ya kuzidiwa umri? is it worth it??
bda anamnunuliaga jeans mpya mpya
 
Back
Top Bottom