Pisi za South

Hahaha umezivunja mbavu zangu kwa kicheko. Ni kweli South kuna miji hakuna barabara ya vumbi hata moja kila sehemu ni barabara za rami kwanini wasishangae bongo?😄
 
Hawa jamaa sio wenzentu, south ni ulaya, baadhi ya nchi za ulaya hawaiifikii south,,,mkabulu aliijenga sana south na siku wakija kutawala tena kupitia chama chao cha DA south itakua habari ingine
Wao hawana kitu chochote hatari kwao kila kitu ni sawa tu kwa matumizi ya binadamu Nchi zetu masikini unaleta kitu hao TRA wenyewe wanakushangaa kwa kikokotea chao jinsi walivyoweka kodi kubwa.
 
Huu Uzi ni batili bila PICHA zao.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…