Pisi kali, nipokeeni kwa mikono miwili.

Bado ile, bebi lini utakuja huku au mimi nije huko :D :D ; huo tayari ni umasikini tosha.
Kwenye kuonana nitakuwakilisha mimi vizuri tu, ninaweza kupotea na kutokea TX muda mfupi tu hivyo ondoa shaka fanya utaratibu wa mawasiliano ya mrembo🤣
 
Kwenye kuonana nitakuwakilisha mimi vizuri tu, ninaweza kupotea na kutokea TX muda mfupi tu hivyo ondoa shaka fanya utaratibu wa mawasiliano ya mrembo🤣
Ni bora upate mtu kwenye hizi nchi ambazo sarafu yao iko chini, kuliko hizi nchi ambazo sarafu yao iko juu; itakulazimu utumie pesa nyingi kufanikisha jambo dogo.
 
Ni bora upate mtu kwenye hizi nchi ambazo sarafu yao iko chini, kuliko hizi nchi ambazo sarafu yao iko juu; itakulazimu utumie pesa nyingi kufanikisha jambo dogo.
Tatizo wa nyumbani nao tamaa inazidi.
Mpatie USD 150-250 per week baada ya muda ataona haitoshi na anaweza asikuambie direct ila atahitaji kiasi kiongezeke.
 
We ni kibua tu, Mwanaume kulialia kingese si bora utafute jibaba likuhemee kisogoni tu
Napima IQ yako; shamba la ekari 7 lilimwa na watu 5 kwa siku 14, Je watu wakiwa 10, katika shamba hilo, watatumia siku ngapi?

Ukishindwa kujibu hili swali, hutakiwi kuwa katika jukwa hili.
 
Duh! Stres za maisha hizi zitatuua, kumbe kutapatapa kote huko, ni kutafta unafuu wa sehem gan penye unafuu wa pesa kidogo ya kuhonga!?
 
Back
Top Bottom