Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,629
- 40,865
- Thread starter
- #21
Dunia ni kijiji mkuu au hujui hilo?Unaongelea Texas Lodge ya Mbezi au ?
Dunia ni kijiji mkuu au hujui hilo?Unaongelea Texas Lodge ya Mbezi au ?
Inawezekana huko hautohangaika sanaKwa nini?
Kama utafanikiwa kufika huku, utawapata tu.Ebu tupatie abc mkuu
Muonekano wao ukoje?Kama utafanikiwa kufika huku, utawapata tu.
Kwenye kuonana nitakuwakilisha mimi vizuri tu, ninaweza kupotea na kutokea TX muda mfupi tu hivyo ondoa shaka fanya utaratibu wa mawasiliano ya mrembo🤣Bado ile, bebi lini utakuja huku au mimi nije huko ; huo tayari ni umasikini tosha.
Tatizo wewe ni bogusInawezekana huko hautohangaika sana
Unaona ulivyo kilaza. Wapi tulipobishana?Una PhD ya nini? Nisije nikawa nabishana na kilaza
Ni bora upate mtu kwenye hizi nchi ambazo sarafu yao iko chini, kuliko hizi nchi ambazo sarafu yao iko juu; itakulazimu utumie pesa nyingi kufanikisha jambo dogo.Kwenye kuonana nitakuwakilisha mimi vizuri tu, ninaweza kupotea na kutokea TX muda mfupi tu hivyo ondoa shaka fanya utaratibu wa mawasiliano ya mrembo🤣
Rudi kinyume nyume, ukarekebishe ulipokoseaUnaona ulivyo kilaza. Wapi tulipobishana?
Wakati mwingine katika haya maisha inabidi ujizime dataUzi bila picha ya jiwe na vest inayoonekana ni batili.
Wapo kama wa south sema wana utofauti kidogo.Muonekano wao ukoje?
We ni kibua tu, Mwanaume kulialia kingese si bora utafute jibaba likuhemee kisogoni tuRudi kinyume nyume, ukarekebishe ulipokosea
Tatizo wa nyumbani nao tamaa inazidi.Ni bora upate mtu kwenye hizi nchi ambazo sarafu yao iko chini, kuliko hizi nchi ambazo sarafu yao iko juu; itakulazimu utumie pesa nyingi kufanikisha jambo dogo.
We ni kibua tu, Mwanaume kulialia kingese si bora utafute jibaba likuhemee kisogoni tu
Napima tena IQ yako; Raisi wa Marekani aliye declare war US vs Japan, alikuwa anaitwa nani na alikuwa ni raisi wa ngapi?We ni kibua tu, Mwanaume kulialia kingese si bora utafute jibaba likuhemee kisogoni tu
Kwan hamna googleNapima tena IQ yako; Raisi wa Marekani aliye declare war US vs Japan, alikuwa anaitwa nani na alikuwa ni raisi wa ngapi?