Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,208
- 64,297
- Thread starter
- #81
Yupo sahihi nimetafakari sana hili kwa kina
Nyumba na gari haitoshi bado, itakulazimu uanzishe familia iliyotulia ili leo na kesho mambo yakiwa ndivyo sivyo, uwe na 'backup'; baada ya hapo, ndio unaweza kusarehe kwa step.