Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,233
- 2,801
Huyu mwalimu umemheshimu sana, akatoe sadaka ya kushukuru😂😂Mkuu ni maokoto yako tu, kama huna pesa utakula ugali Kwa picha ya samaki
Huyu mwalimu umemheshimu sana, akatoe sadaka ya kushukuru😂😂Mkuu ni maokoto yako tu, kama huna pesa utakula ugali Kwa picha ya samaki
Kwa Afrika mashariki, nadhani ni kuzuri zaidi kuliko huko 'sample'Wapo kama wa south sema wana utofauti kidogo.
ha ha ha, hizo wanaweza wasanii tuTatizo wa nyumbani nao tamaa inazidi.
Mpatie USD 150-250 per week baada ya muda ataona haitoshi na anaweza asikuambie direct ila atahitaji kiasi kiongezeke.
Ata tukienda masokoni na madukani huwa tunaomba kupunguziwa bei, achilia mbali mikopo, huwa tunafuata ile yenye masharti nafuuDuh! Stres za maisha hizi zitatuua, kumbe kutapatapa kote huko, ni kutafta unafuu wa sehem gan penye unafuu wa pesa kidogo ya kuhonga!?
Ilikuwa ni sehemu ya 'entertainment' tuHongera sana
Tunaheshimu mawazo yake, na yuko sahihi kabisa; hawa viumbe huwa ni tegemeziNikimaliza kujenga na nikianza kutembelea gari ndogo ndio ntaanza kutafuna pisi
Kuna jamaa nimekaa nae pembeni hapa amesema hv
Ana akili ndogo sana, ye anajua akiwa na bando ni kuingia tu jf na kukejeli watuKwan hamna google
Mambo myTuone hiyo picha ya kwenye mwamba kwanza...
Poa mywanguMambo my
Inachekesha sana, ukiiona utashindwa kula kwa sababu ya kicheko tuTuone hiyo picha ya kwenye mwamba kwanza kabla hatujakupokea!
Unataja list ya mabwana zako kwa kutumia vijiswaliNapima tena IQ yako; Raisi wa Marekani aliye declare war US vs Japan, alikuwa anaitwa nani na alikuwa ni raisi wa ngapi?
Ubongo wa binadamu una GB ngapi?Unataja list ya mabwana zako kwa kutumia vijiswali
Endelea kujilizaliza uhurumiweUbongo wa binadamu una GB ngapi?
Endelea kujilizaliza uhurumiwe
Duh! Unajituma!
MAGUFULI4LIFE.
Una maanisha Urusi na Mpiga Miti zaweza kuwa mtaa Mmoja.Dunia ni kijiji mkuu au hujui hilo?
Maana sijaiona tu,maelezo yake yamenichekesha vile unaangalia mwamba kumbe we mwalimu😁😁Inachekesha sana, ukiiona utashindwa kula kwa sababu ya kicheko tu