Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,098
Hapana mwanangu kwa mzunguko ulioufanya!'Entertainment' tu; ulimwengu haukuhitaji kuwa siriazi sana, kama unaenda kuvumbua sayari yako.
MAGUFULI4LIFE.
Hapana mwanangu kwa mzunguko ulioufanya!'Entertainment' tu; ulimwengu haukuhitaji kuwa siriazi sana, kama unaenda kuvumbua sayari yako.
Kimawasiliano, ni sekunde tu; kijographia ni lazima utumie pesa nyingi kukutana 'physically'.Una maanisha Urusi na Mpiga Miti zaweza kuwa mtaa Mmoja.
Katika dunia hii wakati mwingine, inabidi ujimwambafai ili kufurahia mema ya dunia 😀Maana sijaiona tu,maelezo yake yamenichekesha vile unaangalia mwamba kumbe we mwalimu😁😁
😀😀😀 muhimu watu wacheke, waondoe stress maisha yasonge.Hapana mwanangu kwa mzunguko ulioufanya!
MAGUFULI4LIFE.
😀😀😀😀😀😀 muhimu watu wacheke, waondoe stress maisha yasonge.
Una balaa wewe Ina maana ulikuwa hujui pisi za huko zinahongwa Dola?Katika dunia hii wakati mwingine, inabidi ujimwambafai ili kufurahia mema ya dunia 😀
MuacheHunaga stori mpya mkuu
We kila siku pisi this, pisi that.
Nilijua wa huko ni tofauti na wa huku, kumbe kiumbe ni kile kile haijalishi yuko mazingira gani 😀😀😀Una balaa wewe Ina maana ulikuwa hujui pisi za huko zinahongwa Dola?
Tukiweka stori za kimaendeleo na za kuchangia maendeleo, wanazikimbia; ila za udaku udaku wanazipenda 😀Muache
Wawekee na nyingineTukiweka stori za kimaendeleo na za kuchangia maendeleo, wanazikimbia; ila za udaku udaku wanazipenda 😀
Ndio ukome🤣🤣🤣kutwa mnatunanga sisi tunawaomba sana Hela kumbe wenzetu wanaomba dollar kabisaaaaNilijua wa huko ni tofauti na wa huku, kumbe kiumbe ni kile kile haijalishi yuko mazingira gani 😀😀😀
Tatizo hawa watu, ulemavu wao upo kwenye hela tu 😀Tabu iko pale pale
Huyu aliyewafudisha kupenda hela sijui ni nani?Ndio ukome🤣🤣🤣kutwa mnatunanga sisi tunawaomba sana Hela kumbe wenzetu wanaomba dollar kabisaaaa
Fafanua zaidiThere is something wrong somewhere
Unatupa ushauri ganiMna mahangaiko
Huyo amesoma ili akujibu...ila hakua na lengo la kujifunzaAna akili ndogo sana, ye anajua akiwa na bando ni kuingia tu jf na kukejeli watu
Yupo sahihi nimetafakari sana hili kwa kinaTunaheshimu mawazo yake, na yuko sahihi kabisa; hawa viumbe huwa ni tegemezi