Pisi kali huwa mnajitambua kuwa nyinyi ni pisi kali?

Pisi kali wanafaa kuwa mchepuko sio mke ukioa basi umekaribisha moto ndani ndoa sio kwa kila mtu.
 
Kwenye dunia kuna vitu vya kigiriki havitafsiriki kiyunani.
Sometimes hakuna sababu za msingi! Kuna mtu ana kila sifa na haolewi, waoaji wanaenda mbali zaidi kusema yule mwanamke mzuri sana simuwezi.
 
Ok ! Swal ni je wew unafkir ni kwann inatokea hivyo
 
Ni kwann pis Kal huwa hawatulii kweny ndoa ?? Fafanua mkuu
Hawawezi kutulia mkuu kwenye ndoa kwasababu wanaona wakiachika leo mwezi hauishi wataolewa hiyo ndo inawapa jeuri na wanaume wanaowafukuzia ni wengi hvyo wanakuwa na uhakika wa kupata mtu mda wowote.
 
Ok!
 
Back
Top Bottom