Pisi kali huwa mnajitambua kuwa nyinyi ni pisi kali?

Kujiweka Safi tu
Vimavazi vizuri body la kutamanisha halafu usiwe cheap
Mfano
Ukiitwa unaenda kwa bodaboda (kama haitoshi unampigia aje nje akulipie bodaboda )
Unabomu vijihela vya kingese ngese kama elfu 10,20,5 (nyoko sana wewe)
Una vi element vya wizi wizi wa mapenzi yaani wewe ni mtu kitu sio mtu utu
Na mengine yanayoendana na hayo
Ukiona unavitabia hivyo oooh my friend ur finished
 
Nauliza hivyo kwa sabab zifuatazo:

1. Pisi Kali wengi hawaolewi
2. Pisi Kali wengi wanapata wanaume wahuni wahuni tu ambao hawana nia ya kuoa
3. Pisi Kali wengi wanaishia kupigwa mimba tu bila ndoa za kueleweka.

Sasa kama wewe ni pisi kali na unajitambua kwanini usiolewe na mwanaume anaeleweka na ukaish kwa heshima? Badala yake mnaishia kuzarishwa na kubaki kuuza migahawa na kuwa bar maid.

Nawakaribisha njooni tuchangie mawazo juu ya hili suala. Ukifanya uchunguzi utaona kwamba Mama Ntilie weng ni wanawake wazuri kimuonekano lakini tunashangaa kwanini hawako kwenye ndoa, badala yake wameishia kuzarishwa tu.

Karibuni wadau
Hapo kwa mama ntilie kuna mtaa nilikuwa naishi kuna mama ntilie kama watatu ni wazuri, wawili ni makamo yangu wote wamezalishwa mwengine ni mmama mtu mzima ana mshepu,basi wateja wake wana ya shikashika na kuyapiga vibao makalio. Hao wawili ndio wanatembeza papuchi, ila mmoja kaolewa mwaka jana ila sijui ndoa yake ina endeleaje.

Kulikuwa na mabinti wengine wawili wazuri kipindi nipo A-level gari zilikuwa zinapishana kuja kuwachukua, mwisho wa siku mmoja kazalishwa na bodaboda na mwengine kazalishwa na dereva wa bajaj mpaka tukashangaa manake tulitegemea labda wamezalishwa na watu wenye hadhi.
 
Kujiweka Safi tu
Vimavazi vizuri body la kutamanisha halafu usiwe cheap
Mfano
Ukiitwa unaenda kwa bodaboda (kama haitoshi unampigia aje nje akulipie bodaboda )
Unabomu vijihela vya kingese ngese kama elfu 10,20,5 (nyoko sana wewe)
Una vi element vya wizi wizi wa mapenzi yaani wewe ni mtu kitu sio mtu utu
Na mengine yanayoendana na hayo
Ukiona unavitabia hivyo oooh my friend ur finished
Kumbe
 
Unacheza nami kama Pele
Huyo mwanamke sina ule urafiki wa karibu kivile lakini ninamfahamu kikawaida anapenda Sana kuvaa nguo fupi ndio maana mapaja yake yanaonekana lakini sio kweli kwamba nimesex nae huo ndio ukweli wenyewe
 
Back
Top Bottom