Pinda hakulidanganya Bunge juu ya Mh. Lema

CRAP........nani kakwambia mambo ya bungeni yanapelekwa mahakamani?
Chakubimbi!

Duh kweli wehu wengi humu ndani na ww ni zaidi ya wehu wote humu ndani. Pinda aliongelea bungeni sakata la arusha pamoja na uchaguzi wa meya. Kama meya sio halali si mwende mahakamani ? mbona mnaogopa kama nyie ni wakweli? Hapo ndipo unafiki wa CDM unapo dhihirika aisee
 
Nasema Meya si halali mahakamani hatuendi tunajua mahakama zote zenu sisi tutaandamana mpaka kieleweke chali wangu.Kamanda Lema kasema suluhisho la Meya ni maandamano we unataka kujifanya una akili kuliko mbunge wetu aisee kama ungekuwa na akili hata nusu yake tungekuona mjengoni acha ushamba chali wangu.
 
Lema kutembea na wananchi wake wala si vurugu. Mbona Ole Sendeka amebebwa na wananchi Arusha alipotoka mahakamani na hakuna mabomu? Kama kutembea kwa miguu ni kuwa na vurugu basi walionzisha hizo vurugu ni CCM na ndiyo wengi wako huko. Si dhani kama hiyo inamuondolea Pinda kudanganya kama amedanganya! Tunataka tujue katika hati ya maelezo Lema katoa udhibitisho gani ili nasi tujue extent ya udanganyifu wa mtu ambaye tumempa mamlaka makubwa sana ya kumshauri rais na kutuongoza pia!!!!!!!
Si dhani kama humu JF ni chadema tu la hasha lakini humu kuna mawazo mchanganyiko ya kimageuzi na pia mawazo mgando yapo!!!!

Yesu alijibu "atakama nikiwambieni hamtonisadiki" alitoa kauli hii baada ya kuwaona Wayahudi,hawana nia nyingine katika akili zao bali ni kutaka kumuangamiza tu.Hapo kwenye italic ata kama ukweli utatolewa juu ya hicho unachokiamini huwezi kusadiki na wala haitokuwa sababu ya wewe kutomuhukumu Pinda.
 
We apolycaripto mwehu nani kakutuma sisi wanaArusha tumemchagua Lema kwasababu style ya uongozi wake tunaikubali nakushangaa pili pili usioila inakwashia nini.Maandamano ni lazima upende usipende tutaandamana kila fursa itakapojitokeza chalii wangu acha wivu wa kike.Hatuna shida ya barabara kwanza tunataka hizi zilizoko zibomoke magari ya polisi yashindwe kufuatilia maandamano yetu.Mabomu tumeshaanza kuyazoea miaka mitano ikimalika Gongo la mboto ikihamia Arusha hakuna hata mtu mmoja atakayekufa si unajua watu wa Dar wengi walikufa kwa kukosa maarifa.Kamanda wetu Lema anatuzoeza fujo ajira ziko kibao au haujasikia colonel Gaddafi anatafuta watu wa kumsaidia kuwatwanga risasi waasi unafikiri makomredi wake wakija Tanzania watakimbilia wapi ?.Kwa taarifa yako watu wa Arusha wana nafasi kubwa kunyakua ajira za Gaddafi kuliko magoi goi wa Dar.Hatuna haja ya Hospitals wakati sisi ni wagumu tunataka maandamano mzee we wa wapi nani atatujua sisi wagumu nakwambia tutaandamana mpaka kieleweke.

Nakwambia koma mbunge wetu haogopi polisi kama unabisha waulize wapiga saluti wa Mwema,tunapambana nao kila siku wenyewe wanakiri Lema kiboko.Aharr,kidogo nisahau mwaka hujao tutatengeneza kalenda za kumbukumbu ya waanga wa maandamano nakwambia zitakwa nzuri mfano wake hakuna page ya kwanza itakuwa na picha ya Mwenyekiti wetu wa taifa na kamanda Lema wakiwa wamebeba jeneza la marehemu Denis Shirima.Page nyingine sikwambii ng'oo msije mkatuchakachua.

Jifunze na kiswahili vizuri , na wasiwasi wewe si raia
 
wewe humfahamu lema....kaa kimya... Acha sisi wapiga kura wake tuendelee nae hivo hivo... Tunamfahamu vizuri na tupo nae bega kwa bega... Ndio aina ya kiongozi tunaemtaka, kwaio wewe na aliekutuma chapeni lapa

nakubaliana kabsa hiii,....tena pambafu kabisa wewe...tunajivunia Lema..Namshukuru Mungu sikutupa wala kuibiwa kura yangu kwa Lema...... Lema lema lema huyoooo............
 
nakubaliana kabsa hiii,....tena pambafu kabisa wewe...tunajivunia Lema..Namshukuru Mungu sikutupa wala kuibiwa kura yangu kwa Lema...... Lema lema lema huyoooo............

wewe kama sio kishongo ni Topical na mashine yako ya pumba
 
We apolycaripto mwehu nani kakutuma sisi wanaArusha tumemchagua Lema kwasababu style ya uongozi wake tunaikubali nakushangaa pili pili usioila inakwashia nini.Maandamano ni lazima upende usipende tutaandamana kila fursa itakapojitokeza chalii wangu acha wivu wa kike.Hatuna shida ya barabara kwanza tunataka hizi zilizoko zibomoke magari ya polisi yashindwe kufuatilia maandamano yetu.Mabomu tumeshaanza kuyazoea miaka mitano ikimalika Gongo la mboto ikihamia Arusha hakuna hata mtu mmoja atakayekufa si unajua watu wa Dar wengi walikufa kwa kukosa maarifa.Kamanda wetu Lema anatuzoeza fujo ajira ziko kibao au haujasikia colonel Gaddafi anatafuta watu wa kumsaidia kuwatwanga risasi waasi unafikiri makomredi wake wakija Tanzania watakimbilia wapi ?.Kwa taarifa yako watu wa Arusha wana nafasi kubwa kunyakua ajira za Gaddafi kuliko magoi goi wa Dar.Hatuna haja ya Hospitals wakati sisi ni wagumu tunataka maandamano mzee we wa wapi nani atatujua sisi wagumu nakwambia tutaandamana mpaka kieleweke.

Nakwambia koma mbunge wetu haogopi polisi kama unabisha waulize wapiga saluti wa Mwema,tunapambana nao kila siku wenyewe wanakiri Lema kiboko.Aharr,kidogo nisahau mwaka hujao tutatengeneza kalenda za kumbukumbu ya waanga wa maandamano nakwambia zitakwa nzuri mfano wake hakuna page ya kwanza itakuwa na picha ya Mwenyekiti wetu wa taifa na kamanda Lema wakiwa wamebeba jeneza la marehemu Denis Shirima.Page nyingine sikwambii ng'oo msije mkatuchakachua.

Nimekukubali "Mwanaapolo" hapo kweli "steam" imepanda ni mmea gani mnaotumia huko!Maake naona kama unahisi umekalia mawingu vile.
 
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu “mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi”.Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti “peoples power” safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama.”sifa za kijinga” eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

Hapo kwenye RED: Kwa nini vijana wengi Arusha Hawana Kazi? Nani kasababisha hili?
 
Jameni JF imevamiwa na mashushu! Every one should hv to lock his door! hv ww mwana CCM unamfahamu LEMA vzr? em tuache tunaomfahamu tumseme na siyo wewe unayetoka makete kwa pinda! achana na sisi, hiyo uliiona ni miongoni mwa vitu tunavyovitaka, kilichopo Libya kwa swaiba wenu akijaanza leo! Lema yupo kazin kuwaandaa waandamanaji makini wa kuwaondoa nyie makupe! nchi hii si ya kuongeakwa pozi, bali inahitaji kufoka huku ukipiga ngumi upepo! si wakati wa kuvaa suti na kuingia ofsini!
Nenda shule ndo utajua yote haya!
 
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu "mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi".Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti "peoples power" safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama."sifa za kijinga" eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

Hapo kwenye red umezungumza uongo kabisaa umemkot vibaya waziri mkuu, hakumsema hivyo alichokisema waziri mkuu ni Lema alienda wakati uchaguzi umeshafanyika na yeye akiwa na madiwani wa CHADEMA walitaka kuingia kwenye ukumbi wakitaka kufanya uchaguzi wao na alianzisha vurugu ndipo askari walimtoa kwa nguvu.Sijamkot neno kwa neno
Mods naomba kue na sheria ya mtu akithibitika kudanganya umma wa JF apewe bann nafikiri watu kama hawa wapewe bann kwan watu wengi waliona kipindi kile kwenye TV
Inaonekana huyu jamaa kaandika hii tread kwa jazba na kumchafua Mh,Lema kuonekana ni mtu mgomvi,asiye na ulewa wowote.

Tafadhari nawasilisha kwa maamuzi zaidi
 
we ulitaka awe kama yale mang`ombe na mambuzi ya ccm yaliyojaa bungeni kazi yao kugonga meza bila kuchangia bunge lote na wakichangia ni kumsifia rais kwa kuchaguliwa..
 
wewe una wazimu nini? Lema ni kiongozi makini kwa taarifa yako yaliyotokea jana ndio hasa malengo ya CDM kwa sasa na yeye ndio simamia, maendeleo ya wananchi yataletwa kwa vurugu na maandamano.

What? Mjepu! Am i missing something here? well so far so good! sasa hivi hapo soko la mjini kati tunauza na kuvuta bangi kwa raha zetu, hamna haja ya viroba siku hizi, gongo ipo kwa bei poa saana na tuna ibia watu simu na pesa kwa raha zetu nani atuulize na Lema yupo bana? madiwani wa nini? kwanza wengi CCM!! barabara mitaa ya sokoni sasa hivi tunauzia mboga na nyanya, bara bara kitu gani bwana? kwanza wenye magari wooote mafisadi! yaani maendeleo yanakuja fasta kuliko tulivyo tarajia maana tumeisha anza kujisaidia haja ndogo na kubwa kwenye vichochoro vya hapa mjini kati kwa raha zetu. Lema Udumu, Piiiiiiiiiipozi PAWA!!!!!!!!
 
Hapo kwenye RED: Kwa nini vijana wengi Arusha Hawana Kazi? Nani kasababisha hili?

Ni tatizo la kihistoria tu Mkuu,wakati wenzao wanakanyaga umande,hao machalii(vimeta) walikimbilia Merelani kuchimba Tanzanite,sasa kutokana na kufa wengi huko kwenye maporomoko,wamerudi kwenye siasa za maandamano mjini.Wengi sasa wanafanya uporaji kupitia maandamano kwa kisingizio cha "peoples power".Kwa sababu hawana techniques ndio maana wanaishirizia kutenguliwa viuno na hao Wapiganaji na kamwe kundi hili haliwezi kufanya maajabu ya Tunisia,Misri na kwinginepo ambapo tunadhani ni mfano wa kuigwa.Maake hawana uwezo wa kutafakari zaidi ya kuhusudu yaani mapenzi waliyonayo kwa huyo "vurugu-Lema" ni sawa na "mtu na mchumba wake" katika hatua za awali za mahusiano kabla ya kuzini.
 
Huyu jamaa alisikiliza Bunge, alitizama kile kipindi au alihadithiwa? maana si kweli kuwa Pinda alimtaja Lema kuwa chanzo cha vurugu, na wala si kweli kuwa Pinda alisema Lema ni mtu wa vuruvurugu! Uongo wa Pinda ni majibu yake kwa ujumla maana alikopi story ya Polisi na Kui pesti Bungeni kama jibu lake kwa Mh Mbowe! Halafu acha ulimbukeni yaani Mbunge kutembea kwa miguu badala ya kupanda gari ni kutafuta umaarufu! mbona Nyerere alikuwa akitembea kwa miguu toka Pugu kuja dar mjini wakati wa harakati za Uhuru! A silent fool, is counted wise!
 
Back
Top Bottom