Pinda hakulidanganya Bunge juu ya Mh. Lema

Pinda hakulidanganya Bunge juu ya Mh. Lema

Kwa kusema ukweli huu basi utashambuliwa sana na wana Chadema humu Jamvini.

Mimi nakupa hongera kwa kusema kweli bila wote na usimamie ukweli wa maneno yako daima japo utatuknwa na wanaChadema

Usihofu,nimekwisha baini uwezo wao wa kufikiri na wengi wanahitaji "counseling" kwani wameathiriwa na malijuana.Sipingi mawazo yao ila inanipa mashaka kama Wazalendo/vijana ndio hawa waliojificha katika pazia la Wasomi basi hata tutapo pata tunachokipigania (haki,maisha bora n.k) kutakuwa na mushkeli kujiongoza wenyewe.
 
Kama Pinda hakulidanganya bunge, kwa kanunu za bunge kama alivyozisoma Spika Makinda alimpa Mh.siku nne kwa vitimbwi na vitisho kuthibitisha kua Mh.Pinda alilidanganya bunge na asipothibitisha atachukulia hatua za kinidhamu.Muda ulipofika wa kuwasilisha kuthibitisha Makinda akamgomea na kumwambia awakilishe kwa maandishi amewasilisha kwa maandishi Makina kimya na Mh.Lema hakuchukuliwa hatua yoyote.logically mpaka sasa ukweli unabaki palepale MH.PINDA ALILIDANGANYA BUNGE.Vitendo vya Mh. Havifuti ukweli wa Pinda kulidanganya bunge na wala havina uhusiano.
 
ينبغي أن يحظر جميع الناس غبية لهذه الوسائط مفيدة، الرجاء مسؤوليات اتخاذ وزارة الدفاع أن هذه people.we يجب الدفاع الذين يكافحون من أجل الأغلبية.ليما الكفرة مثال على ذلك.
 
Pinda ni mwongo mkubwa
kavaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu!
Popo si mnyama si ndege ndivyo alivyo!
 
Usihofu,nimekwisha baini uwezo wao wa kufikiri na wengi wanahitaji "counseling" kwani wameathiriwa na malijuana.Sipingi mawazo yao ila inanipa mashaka kama Wazalendo/vijana ndio hawa waliojificha katika pazia la Wasomi basi hata tutapo pata tunachokipigania (haki,maisha bora n.k) kutakuwa na mushkeli kujiongoza wenyewe.

hii ni nini..?
 
Pinda ni mwongo mkubwa
kavaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu!
Popo si mnyama si ndege ndivyo alivyo
 
Sielewi unadhamiria kutuambia nini wewe.. Acha ushabiki wa kijinga, Pinda kadanganya bunge na mwongo ni mwongo tu hata awe na cheo gani. Hata Shetani ni muongo japo kuna watu wanamwabudu kama mungu,

Japo off the topic lakini......Shetani si mwongo kwasababu ya kuwa shetani bali ni mwongo kwa sababu yote anayosema hata kama ni 'kweli' hawezi sababisha kweli yatokee au yabakie kuwa kweli hata kama yalishatokea hapo mwanzo, so anakuwa na wishful thinking. Kinyume chake ni kuwa Mungu hawi mwongo kwasababu hawezi sema uwongo bali hata kama atapenda kusema kinyume na ukweli ulivyo kwa wakati huo bado anauwezo wakusababisha hicho anachotaka kiwe kama anavyo sema.

Its not about what they say but the power in what they say....then God use words to bring/manifest into physical what are in his mere words ndiyo maana uwongo hauwezi kukaa ndani yake for He has an ability to create light out of darkness not that to make light inorder for darkness to disaapear but to create light using the darkness read between the lines......

Kwa minajili hiyo hiyo Lema anasema waziri mkuu ni mwongo kwa mfano kwakusema Chadema ni wasababishaji wa vurugu wakati hakuna hakimu aliye wa convict hao kuwa hivyo na ikathibitika bila wasiwasi kuwa iko hivyo....that means he was not supposed to rule out this as even if he does he has no power to do so not because of what he said but because of the powers comfered to him mpaka hapo mahakama itakapothibitisha ndo atakuwa na haki ya kusema....na hii ndo context ya shetani na Mungu.
 
katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na mh. Mbowe juu ya mgogoro wa jimbo la arusha.pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani mh.godbless lema kuwa chanzo cha vurugu.nanukuu “mgogoro huu umesababishwa na mbunge wa arusha(lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi”.hiki ndicho kilichomuuzi lema na kudai yote kuwa waziri mkuu kadanganya bunge na wananchi.

kauli ya waziri mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa mh. Godbless lema hasa katika medani za kisiasa.lema anaongozwa na siasa za enzi za kina isike na mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.wewe (lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti “peoples power” safari ya mguu kama zuzu mtaani.hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.sasa nimeamini kuwa lema ni tofauti na viongozi wengine wa chadema.hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

vijana wengi arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama.”sifa za kijinga” eti mbunge wetu haogopi polisi! Mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

haahaaa we pambafu kweli, bado una mawazo mgando!!!
 
kajipange upya mkubwa, inaelekea hujamsoma vizuri au unachongo halafu hujui kama unachongo... Lema anadhamira thabiti juu ya kulikombo jimbo la Arusha na huu ni mwanzo tu mtafunga choo wasen nyie na watu wa A-Town tunamwamia anaweza na tutaendelea kumpa-support hata kama mtaleta vifaru...Lema siyo kuku wa kisasa ni kamanda wa ukweli na hayo ya kukimbia unayasema wewe au sijui ulimanisha nini....Tunajua jimbo la Arusha Mjini lina wauma sana kuchukuliwa na Lema(CDM)
 
Kiongozi ni mfano wa kazi hulijui hilo? kama hivyo sivyo kiongozi ni mfano;
Basi umebeba junia la mawe ngata kifuu jisikie kwa raha zako.

Junia na ngata ndo nini tena??? Unawaacha watu solemba

wewe una wazimu nini? Lema ni kiongozi makini kwa taarifa yako yaliyotokea jana ndio hasa malengo ya CDM kwa sasa na yeye ndio simamia, maendeleo ya wananchi yataletwa kwa vurugu na maandamano.[/QUOTE]

Kwa kweli mchujo inabidi upite sasa wa Great Thinkers , huu ni wehu dhahiri shahiri (angalia red hapo). Elewa hakuna maendeleo bila amani
 
kajipange upya mkubwa, inaelekea hujamsoma vizuri au unachongo halafu hujui kama unachongo... Lema anadhamira thabiti juu ya kulikombo jimbo la Arusha na huu ni mwanzo tu mtafunga choo wasen nyie na watu wa A-Town tunamwamia anaweza na tutaendelea kumpa-support hata kama mtaleta vifaru...Lema siyo kuku wa kisasa ni kamanda wa ukweli na hayo ya kukimbia unayasema wewe au sijui ulimanisha nini....Tunajua jimbo la Arusha Mjini lina wauma sana kuchukuliwa na Lema(CDM)

Manispaa inaongozwa na nani ? mean MEYA , DED ni wa nani ? na hao ndio wenye mafungu ya maendeleo ya mji . Tanzania bila CCM haiwezekani
 
Lema kutembea na wananchi wake wala si vurugu. Mbona Ole Sendeka amebebwa na wananchi Arusha alipotoka mahakamani na hakuna mabomu? Kama kutembea kwa miguu ni kuwa na vurugu basi walionzisha hizo vurugu ni CCM na ndiyo wengi wako huko. Si dhani kama hiyo inamuondolea Pinda kudanganya kama amedanganya! Tunataka tujue katika hati ya maelezo Lema katoa udhibitisho gani ili nasi tujue extent ya udanganyifu wa mtu ambaye tumempa mamlaka makubwa sana ya kumshauri rais na kutuongoza pia!!!!!!!
Si dhani kama humu JF ni chadema tu la hasha lakini humu kuna mawazo mchanganyiko ya kimageuzi na pia mawazo mgando yapo!!!!
 
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu "mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi".Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti "peoples power" safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama."sifa za kijinga" eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

We apolycaripto mwehu nani kakutuma sisi wanaArusha tumemchagua Lema kwasababu style ya uongozi wake tunaikubali nakushangaa pili pili usioila inakwashia nini.Maandamano ni lazima upende usipende tutaandamana kila fursa itakapojitokeza chalii wangu acha wivu wa kike.Hatuna shida ya barabara kwanza tunataka hizi zilizoko zibomoke magari ya polisi yashindwe kufuatilia maandamano yetu.Mabomu tumeshaanza kuyazoea miaka mitano ikimalika Gongo la mboto ikihamia Arusha hakuna hata mtu mmoja atakayekufa si unajua watu wa Dar wengi walikufa kwa kukosa maarifa.Kamanda wetu Lema anatuzoeza fujo ajira ziko kibao au haujasikia colonel Gaddafi anatafuta watu wa kumsaidia kuwatwanga risasi waasi unafikiri makomredi wake wakija Tanzania watakimbilia wapi ?.Kwa taarifa yako watu wa Arusha wana nafasi kubwa kunyakua ajira za Gaddafi kuliko magoi goi wa Dar.Hatuna haja ya Hospitals wakati sisi ni wagumu tunataka maandamano mzee we wa wapi nani atatujua sisi wagumu nakwambia tutaandamana mpaka kieleweke.

Nakwambia koma mbunge wetu haogopi polisi kama unabisha waulize wapiga saluti wa Mwema,tunapambana nao kila siku wenyewe wanakiri Lema kiboko.Aharr,kidogo nisahau mwaka hujao tutatengeneza kalenda za kumbukumbu ya waanga wa maandamano nakwambia zitakwa nzuri mfano wake hakuna page ya kwanza itakuwa na picha ya Mwenyekiti wetu wa taifa na kamanda Lema wakiwa wamebeba jeneza la marehemu Denis Shirima.Page nyingine sikwambii ng'oo msije mkatuchakachua.
 
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu “mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi”.Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti “peoples power” safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama.”sifa za kijinga” eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

Wewe unaogopa sana polisi? polisi anatumika kwa matakwa ya watawala tu. taasisi ya polisi ndio inayoongoza kwa kula rushwa sasa hivi, wananuka, wengi wao hawana hata chembe ya uzalendo, jana wamelipwa hardship allowance kwa kupiga wananchi ovyo! Hivi ni vitendo vya viovu, havifai kwa jamii iliyo huru kwa miaka 50 sasa hivi. Serikali inatumia polisi kuwanyanyasa wapinzani sawa kabisa na mkoloni alivyofanya kabla ya uhuru. Kuwazulia kesi viongozi wa upinzani, kutuma mercenary ikiwezekana wawaue wapinzani. Kisa tu wana mawazo na mtazamo tofauti wa kuleta maendeleo kwa nchi yetu. Zinduka ndugu yangu.
 
Kwa kusema ukweli huu basi utashambuliwa sana na wana Chadema humu Jamvini.

Mimi nakupa hongera kwa kusema kweli bila wote na usimamie ukweli wa maneno yako daima japo utatuknwa na wanaChadema
:llama::llama::llama::llama:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom