Pinda hakulidanganya Bunge juu ya Mh. Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda hakulidanganya Bunge juu ya Mh. Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by apolycaripto, Feb 23, 2011.

 1. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu “mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi”.Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

  Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti “peoples power” safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

  Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama.”sifa za kijinga” eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Unatumika na nani?
  Unalipwa na nani?
  Ni shiing' ngapi unapewa?
  Je unachanganya na zako au kimaslahi zaidi?
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  i reserve my comment.....but that is his trademark
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  Yes...even Nyerere was incacerated by opposing the system of the day....being politically combative isn't breaking the law
   
 5. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  wewe humfahamu lema....kaa kimya... Acha sisi wapiga kura wake tuendelee nae hivo hivo... Tunamfahamu vizuri na tupo nae bega kwa bega... Ndio aina ya kiongozi tunaemtaka, kwaio wewe na aliekutuma chapeni lapa
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  wewe una wazimu nini? Lema ni kiongozi makini kwa taarifa yako yaliyotokea jana ndio hasa malengo ya CDM kwa sasa na yeye ndio simamia, maendeleo ya wananchi yataletwa kwa vurugu na maandamano.
   
 7. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,194
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Kiongozi ni mfano wa kazi hulijui hilo? kama hivyo sivyo kiongozi ni mfano;
  Basi umebeba junia la mawe ngata kifuu jisikie kwa raha zako.
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe sisi wananchi wa Arusha alituahidi hayo anayoyafanya sasa tukamchagua ndio anatekeleza ahadi zake..VIVA LEMA
   
 9. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Sielewi unadhamiria kutuambia nini wewe.. Acha ushabiki wa kijinga, Pinda kadanganya bunge na mwongo ni mwongo tu hata awe na cheo gani. Hata Shetani ni muongo japo kuna watu wanamwabudu kama mungu,
   
 10. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nampongeza Lema, kwani siasa ni maisha ya kila siku, huwezi kukwepa! Mandela aliambiwa na makaburu kuwa, wamtoe gerezani wampeleke uhamishoni na aachane na siasa. Alikataa na akaona bora aendelee kukaa gerezani kuliko kuacha siasa!

  Mh. Godbless Lema naye ana-style ya aina yake jinsi ya kuendesha maisha yake ya siasa. Hakuna kuiga CCM, CDM tokeni kivyenu mpaka kieleweke.
   
 11. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Join Date11th February 2011Last ActivityToday 02:13 PMAvatar[​IMG]
  0 Friends

  apolycaripto has not made any friends yet

  Watu hupata hedhi kupiti chini weye yapitia mdomoni!
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  What a lot of rubbish..
   
 13. j

  julius Senior Member

  #13
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kichwa chako cha habri akinakabisa huusiano na ulichokiandiaka ndani.
   
 14. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jamani ya nini kujitia BP bure wakati huyu ni branch za MS kazi yao kubwa ni kuchafua hali ya hewa humu ndani!
   
 15. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Inabidi MODS wawahesabie watu kiwango cha pumba na upuuuuzi wanaondika humu ndani..ili siku ya siku ukifika lets pumba 30 basi tunakufukuza JF kimoja!!

  Baadae...
  Huyu nimehesabu pumba zake, ingekuwa Iran tunamu-execute... A total Crapped person
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ha ha haa ... avatar yako bana ... huyo mtoto si utamchafulia hewa
   
 17. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Ni hapo wakati wa Bajeti ya 2011/12, Mheshimiwa Godbless Lema, Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani Kambi upinzani atakapozuia shilingi au mshahara wa Waziri Shamsi Vuai Nahodha, ndiyo mtajua kama Lema ni mtu wa vurugu.
   
 18. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  GOD BLESS Godbless Lema
   
 19. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa kusema ukweli huu basi utashambuliwa sana na wana Chadema humu Jamvini.

  Mimi nakupa hongera kwa kusema kweli bila wote na usimamie ukweli wa maneno yako daima japo utatuknwa na wanaChadema
   
 20. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #20
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You seem absolutely biased against Mp Godbless Lema.Acha ushabiki wa kitoto. Lema is a man of the people, he has oratory power, courageous, tough, strong and who is ready to stand for just and protect peoples' rights.Those are the kind of leaders tunawahitaji kwa hivi sasa ambapo mambo mengi yanaenda hovyo hovyo na huku haki za kimsingi za raia zikizidi kukandamizwa ruthlessly.
   
Loading...