pinda apokewa na mabango yanayoishutumu CHADEMA

watz kwa unafiki hatupo nyuma, hao hao waliobeba mabango kwa mh pinda, operation sangala ikifika wao ndio wakwanza kuyanyanya dhidi ya serikali. Watanzania hatuna tofauti na Bendera, upepo ukivuma nasi hao!

mkuu Gagurito, ndg. KASHAGA ameshindwa kutoa source ya habari yake, picha au uthibitisho wowote wa kimazingira, hivyo habari yake ni ya kishabiki na haina mashiko. Ni kirapu!
 
kashanga wewe ni ******.**** la mama yako. unaleta mambo gani kuku wewe.imeniuma sana na nimelazimika kukutukana kwa sababu hasira ikizidi uvumilivu unakwisha. nisamehe kwa kukuambia ukweli.
 
kashanga wewe ni ******.**** la mama yako. unaleta mambo gani kuku wewe.imeniuma sana na nimelazimika kukutukana kwa sababu hasira ikizidi uvumilivu unakwisha. nisamehe kwa kukuambia ukweli.

amen mkubwa kwa matusi ila utaipenda tuu mwaka huu
 
mkuu Gagurito, ndg. KASHAGA ameshindwa kutoa source ya habari yake, picha au uthibitisho wowote wa kimazingira, hivyo habari yake ni ya kishabiki na haina mashiko. Ni kirapu!

habari hii imeandikwa na magazeti ya leo sasa we kama unafikiri nimetunga kalagha bao coz sie huwa tunapitia magazeti yote ya kila siku sijui mara yako ya mwisho kununua gazeti ni lini? pole mama nenda ukameze panadol
 
Sasa ndungu Kashaga, naomba niwasiliane na wewe katika hali ya kistaarabu kabisa.

Kutokana na hii post uliyotuwekea hapa, si shaka kwamba wewe ni shabiki/mwanachama/kada wa CCM. Kwa maoni yangu, mimi ninasikitika sana kuona mtu kama wewe(kulingana na picha kwenye Avatar yako), mtanashati na pengine ni msomi, unashabikia uozo. Hivi kweli huoni mabaya yanayofanywa na CCM ndugu yangu? Kweli shida ya umeme wewe unaishangilia?Kweli wizi wa fedha za wakulima na walalahoi wa Tanzania unaofanywa na makada na viongozi wa CCM haukuumi wewe?

Hivi kweli hali ngumu ya maisha, kupanda kwa gharama za maisha kutokana na ongezeko holela la bei za bidhaa muhimu, hayo yote hayakupi uchungu?

Kama kweli hupatwi na machungu, basi ni dhahiri kwamba wanaCCM wote si wazalendo wa taifa la Tanzania. Ndio maana mnashangilia uozo, rushwa, ufisadi, uporwaji wa rasilimali zetu na mikataba mibovu.

Na ni dhahiri kwamba baadhi ya waTanzania, hasa wanaCHADEMA ndio wazalendo wa kweli ambao hawadanganywi na hadaa ya nidhamu ya woga na amani uchwara inayohubiriwa na CCM, amani ambayo ndiyo kifumba macho na mdomo kwa waTanzania. CHADEMA inawaamsha wananchi kutoka usingizi wa pono waliolazwa na CCM na pia kujaribu kuwafungua macho na midomo yao ili wadai haki zao za kiraia zilizohalalishwa na Katiba, katiba hii uchwara inayoipa ushindi CCM kwenye kila uchaguzi.

Fumbuka macho ndugu yangu, bado muda upo.
 
Sasa ndungu Kashaga, naomba niwasiliane na wewe katika hali ya kistaarabu kabisa. Kutokana na hii post uliyotuwekea hapa, si shaka kwamba wewe ni shabiki/mwanachama/kada wa CCM.

Kwa maoni yangu, mimi ninasikitika sana kuona mtu kama wewe(kulingana na picha kwenye Avatar yako), mtanashati na pengine ni msomi, unashabikia uozo. Hivi kweli huoni mabaya yanayofanywa na CCM ndugu yangu? Kweli shida ya umeme wewe unaishangilia?

Kweli wizi wa fedha za wakulima na walalahoi wa Tanzania unaofanywa na makada na viongozi wa CCM haukuumi wewe? Hivi kweli hali ngumu ya maisha, kupanda kwa gharama za maisha kutokana na ongezeko holela la bei za bidhaa muhimu, hayo yote hayakupi uchungu?

Kama kweli hupatwi na machungu, basi ni dhahiri kwamba wanaCCM wote si wazalendo wa taifa la Tanzania. Ndio maana mnashangilia uozo, rushwa, ufisadi, uporwaji wa rasilimali zetu na mikataba mibovu. Na ni dhahiri kwamba baadhi ya waTanzania, hasa wanaCHADEMA ndio wazalendo wa kweli ambao hawadanganywi na hadaa ya nidhamu ya woga na amani uchwara inayohubiriwa na CCM, amani ambayo ndiyo kifumba macho na mdomo kwa waTanzania.

CHADEMA inawaamsha wananchi kutoka usingizi wa pono waliolazwa na CCM na pia kujaribu kuwafungua macho na midomo yao ili wadai haki zao za kiraia zilizohalalishwa na Katiba, katiba hii uchwara inayoipa ushindi CCM kwenye kila uchaguzi.

Fumbuka macho ndugu yangu, bado muda upo.

nimekuelewa ndugu yangu na ningependa watz wote tuwe na moyo kama huu wako na pengine tutoe mwazo yetu katika hali ya kistaharabu kama wewe? pengine katika watz ambao washawahi kuexperience maisha magumu hapa TZ mi ni mmoja wao,nilimaliza mlimani serikali ya ccm ikashindwa kunihakikishia ajira, mimi ni muhanga wa ufinyu wa ajira nimekimbia nchi niko RSA, aghalabu huku hali sio mbaya napata cha kujikimu na kusaidia familia yangu huko nyumbani! ninachofanya mimi ni kubalance na kuwa fair,yako mabya ya ccm,yako mazuri pia,sasa wanachofanya CDM ni kuchukua yale mabaya na kuwatia hofu wananchi, kwanini basi wasiwe fair hata kuongelea yale mazuri??

inamaana hakuna zuri hata moja? why do we always look for the weaknesses? na hii ndo itakayowaangusha CDM hata 2015, CHADEMA wasitegemee kuchukua nchi by simply criticising CCM lazima wawe honest na watz na wawaambie nini watafanyia otherwise wataishia kuandaa maandamo kila siku ambayo hayana Tija
 
Tuwekee mapicha hapa tuyaone.
Kama hayo ni ya kweli CDM tuna kazi kubwa ya kuelimisha hao wananchi wa huko.
 
nimekuelewa ndugu yangu na ningependa watz wote tuwe na moyo kama huu wako na pengine tutoe mwazo yetu katika hali ya kistaharabu kama wewe? pengine katika watz ambao washawahi kuexperience maisha magumu hapa TZ mi ni mmoja wao,nilimaliza mlimani serikali ya ccm ikashindwa kunihakikishia ajira,mimi ni muhanga wa ufinyu wa ajira nimekimbia nchi niko RSA,aghalabu huku hali sio mbaya napata cha kujikimu na kusaidia familia yangu huko nyumbani! ninachofanya mimi ni kubalance na kuwa fair,yako mabya ya ccm,yako mazuri pia,sasa wanachofanya CDM ni kuchukua yale mabaya na kuwatia hofu wananchi,kwanini basi wasiwe fair hata kuongelea yale mazuri?? inamaana hakuna zuri hata moja? why do we always look for the weaknesses? na hii ndo itakayowaangusha CDM hata 2015,CHADEMA wasitegemee kuchukua nchi by simply criticising CCM (lazima wawe honest na watz na wawaambie nini watafanyia) otherwise wataishia kuandaa maandamo kila siku ambayo hayana Tija

mkuu kumbe upo nje?
Habari nyingi zitakuwa zinakupita na inavyoelekea sio mfatiliaji wa haya mambo.
Hebu rudia kusoma hapo nilipofungia mabano maana nimeshindwa kubold nipo via mobile.
Hapo kwenye mabano ni kwamba hujui au?
 
habari hii imeandikwa na magazeti ya leo sasa we kama unafikiri nimetunga kalagha bao coz sie huwa tunapitia magazeti yote ya kila siku sijui mara yako ya mwisho kununua gazeti ni lini? pole mama nenda ukameze panadol

hivi haya magazeti yetu yanauzwa hadi RSA eeh?
 
Mambo ya kupika haya hayana ukweli wowote.

Mabango sahihi ni ya cdm kwa kuwa yamebeba ujumbe na hisia za watu.

Haya ya kusifia chama baaada ya watu lkulipwa 2000 ili wabebe ni uongo na uzushi wa hali ya juu.

Sisiemu imeshindwa inatumia force tu sasa hivi.

Halafu huyu mkulima naye hasomi alama za nyakati ?
 
nimekuelewa ndugu yangu na ningependa watz wote tuwe na moyo kama huu wako na pengine tutoe mwazo yetu katika hali ya kistaharabu kama wewe? pengine katika watz ambao washawahi kuexperience maisha magumu hapa TZ mi ni mmoja wao,nilimaliza mlimani serikali ya ccm ikashindwa kunihakikishia ajira,mimi ni muhanga wa ufinyu wa ajira nimekimbia nchi niko RSA,aghalabu huku hali sio mbaya napata cha kujikimu na kusaidia familia yangu huko nyumbani! ninachofanya mimi ni kubalance na kuwa fair,yako mabya ya ccm,yako mazuri pia,sasa wanachofanya CDM ni kuchukua yale mabaya na kuwatia hofu wananchi,kwanini basi wasiwe fair hata kuongelea yale mazuri?? inamaana hakuna zuri hata moja? why do we always look for the weaknesses? na hii ndo itakayowaangusha CDM hata 2015,CHADEMA wasitegemee kuchukua nchi by simply criticising CCM lazima wawe honest na watz na wawaambie nini watafanyia otherwise wataishia kuandaa maandamo kila siku ambayo hayana Tija

ebo, kumbe weye upo nje ya nchi? Basi tunakusamehe, kwa maana hujui uchungu halisi wa maisha hapa Tanzania. Sasa kuhusu CDM kuwa fair katika kuzungumzia mambo ya CCM, naomba nikukumbushe kwamba CHADEMA ni chama cha upinzani kwa hiyo si wajibu wao kutangaza zuri lolote lilofanywa na CCM, ingawa hakuna zuri hata moja walofanya CCM.

Wajibu wa CHADEMA pamoja na vyama vingine vya upinzani ambavyo bado havijanunuliwa na CCM, ni kuipinga CCM kwa kutangaza na kuelezea mabaya yake. Sasa kama CCM ingekuwa inafanya mambo mazuri mengi kuliko mabaya, basi CHADEMA ingekuwa haina hoja nyingi za kutangaza dhidi ya CCM.....unanielewa hapo Kashaga?

Na inabidi ukumbuke kwamba kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, hivyo kama kuna zuri lolote lilofanywa na CCM hivi karibuni, haina haja ya mtu kukitangaza kwa maana kitaonekana na kila mtu. Ila ukweli ni kwamba hakuna zuri lililofanywa na CCM.

Hoja nyingine ni kwamba sis waTanzania inabidi tubadili mtazamo wetu juu ya serikali. Serikali tunaiweka madarakani na kuipa majukumu ya kutuondolea matatizo yetu na pia kutuendeleza.

Na ndiyo maana tunalipa kodi. Kwa hiyo mimi kama mwananchi siwezi kuisifu serikali kwa kutimiza wajibu wake! Serikali ikitoa huduma nzuri za afya, huo ni wajibu wake. Serikali ikijenga barabara, huo ndio wajibu wake. Hatuwezi kuisifu serikali kwa kufanya hayo yote ambayo ni wajibu wake.

Ni hii fikra potofu ndiyo inayotufanya waTanzania kushindwa kuiwajibisha serikali kwa sababu tunadhani serikali inatufanyia msaada au upendeleo kwa kujenga hospitali au kujenga barabara au shule, wakati hayo yote ni wajibu wa serikali. Hivyo ni wajibu wa wananchi kuikosoa serikali pale inapofanya makosa lakini si wajibu wetu kuisifu pale serikali inapotimiza wajibu wake.
 
mkuu kumbe upo nje?
Habari nyingi zitakuwa zinakupita na inavyoelekea sio mfatiliaji wa haya mambo.
Hebu rudia kusoma hapo nilipofungia mabano maana nimeshindwa kubold nipo via mobile.
Hapo kwenye mabano ni kwamba hujui au?

kaka magazeti karibu yoote yako kwenye mtandao na hakuna siku sisomi magazeti hayo coz napenda sana nchi so lazima nijue nini kinachoendelea,ninaweza nikawa nje lkn nikawa najua mambo meengi sana kuliko aliye nyumbani
 
ebo, kumbe weye upo nje ya nchi? Basi tunakusamehe, kwa maana hujui uchungu halisi wa maisha hapa Tanzania. Sasa kuhusu CDM kuwa fair katika kuzungumzia mambo ya CCM, naomba nikukumbushe kwamba CHADEMA ni chama cha upinzani kwa hiyo si wajibu wao kutangaza zuri lolote lilofanywa na CCM, ingawa hakuna zuri hata moja walofanya CCM. Wajibu wa CHADEMA pamoja na vyama vingine vya upinzani ambavyo bado havijanunuliwa na CCM, ni kuipinga CCM kwa kutangaza na kuelezea mabaya yake. Sasa kama CCM ingekuwa inafanya mambo mazuri mengi kuliko mabaya, basi CHADEMA ingekuwa haina hoja nyingi za kutangaza dhidi ya CCM.....unanielewa hapo Kashaga? Na inabidi ukumbuke kwamba kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, hivyo kama kuna zuri lolote lilofanywa na CCM hivi karibuni, haina haja ya mtu kukitangaza kwa maana kitaonekana na kila mtu. Ila ukweli ni kwamba hakuna zuri lililofanywa na CCM.

Hoja nyingine ni kwamba sis waTanzania inabidi tubadili mtazamo wetu juu ya serikali. Serikali tunaiweka madarakani na kuipa majukumu ya kutuondolea matatizo yetu na pia kutuendeleza. Na ndiyo maana tunalipa kodi. Kwa hiyo mimi kama mwananchi siwezi kuisifu serikali kwa kutimiza wajibu wake! Serikali ikitoa huduma nzuri za afya, huo ni wajibu wake. Serikali ikijenga barabara, huo ndio wajibu wake. Hatuwezi kuisifu serikali kwa kufanya hayo yote ambayo ni wajibu wake. Ni hii fikra potofu ndiyo inayotufanya waTanzania kushindwa kuiwajibisha serikali kwa sababu tunadhani serikali inatufanyia msaada au upendeleo kwa kujenga hospitali au kujenga barabara au shule, wakati hayo yote ni wajibu wa serikali. Hivyo ni wajibu wa wananchi kuikosoa serikali pale inapofanya makosa lakini si wajibu wetu kuisifu pale serikali inapotimiza wajibu wake.
kaka nilkuwa nakuona kama mtu muelewa ila naanza kupata wasiwasi coz unaposema serikali haijafanya chochote kabisa nashindwa kuelewa unamaanisha nini au unaongea haya kwa maslahi ya nani? hakua kabisa kilichofanywa? i sincerally doubt ur indices
 
NI THREAD NZURI ...IMEJAA HOJA...KEJELI...MATUSI YA NGUONI.....MATUSI YA MAMA.....HOFU...VITISHO...KEBEHI...NA HATA MAJIGAMBO KUTOKA PANDE TOFAUTI....!
NANI KAIFANYIA TANZANIA NINI...IWE NI NGUZO NA MSINGI WETU KATIKA KUMCHAGUA AU KUTOKUMCHAGUA......! it will take a year to brain stagnants to understand this
 
kaka magazeti karibu yoote yako kwenye mtandao na hakuna siku sisomi magazeti hayo coz napenda sana nchi so lazima nijue nini kinachoendelea,ninaweza nikawa nje lkn nikawa najua mambo meengi sana kuliko aliye nyumbani

sawa.
Usisahau kusoma Mwanahalisi.
 
Kashaga, ACHA MATUSI KAKA! natambua kuna watu huandika hoja kwa jazba, tambua ni mawazo ya watu so ni haki kuheshimiwa! Matusi hayajengi, hii ni JF sio FACEBOOK.
 
Kashaga, ACHA MATUSI KAKA! natambua kuna watu huandika hoja kwa jazba, tambua ni mawazo ya watu so ni haki kuheshimiwa! Matusi hayajengi, hii ni JF sio FACEBOOK.

hivi ni matusi gani niliyotoa? unaeza pitia comments zangu zote hapo juu afu unionyeshe tusi hata moja nililotoa?? acha kukurupuka kijana
 
Back
Top Bottom