pinda apokewa na mabango yanayoishutumu CHADEMA

Ila maloli ya kuwapeleka hao wadanganyika kwenye mikutano hiyo yapo kama kawa???
 
kashaga unamauziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
kashanga amevaa shanga nadhani mbona anabwabwaja utadhani kazaliwa na makamba?
 
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amepokewa wilayani Missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za CHADEMA zinazoashiria uvunjivu wa amani.Katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi hao jana walibeba mabango yanayosomeka 'maandamano, vurugu, jeshi haviwezi kuongoza nchi, hiyo si demokrasia' na ëTendwa chukua hatua dhidi ya CHADEMA sasa'.

Hata hivyo, mabango mengine yalikuwa yakitoa pongeza na kumkaribisha Pinda wilayani humo, ambayo yalisomeka: ëHongera Rais Jakaya Kikwete kwa ushindi katika uchaguzi mkuu' na 'Karibu Missenyi mtoto wa mkulima Mizengo Pinda'.Waziri Mkuu alipokewa kwa mabango hayo katika uwanja wa Mashujaa, Gunazi, ambako aliyasoma baadhi kabla ya kuanza kuhutubia wananchi.

"Tangu nimeanza ziara mkoani Kagera sijakutana na hali hii," alisema Pinda baada ya kusoma mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na wananchi wa rika tofauti.

Awali, akiwa katika wilaya za Karagwe na Ngara, Pinda aliwataka wananchi kukataa kitu chochote kinachoweza kuwaondoa katika amani waliyoizoea.

Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo baada ya baadhi ya wananchi waishio mipakani kutoa kilio chao kuwa, viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipita na kuwatisha, wakitaka wawaunge mkono kuiondoa serikali madarakani watakapoamua kuingia msituni kutumia nguvu ya umma.

Pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.

ìUkimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.

Nilivyoona tu jina lako, nikakumbuka shanga za kimada wangu.....hakika wew unavaklliwa kiunoni!
 
Taarifa yako habari za kuamina zinasema wajumbe wa nyumba kumi wa ccm aliandikiwa barua za kuhakikisha watu wa eneolake (hasa wanaccm) wanenda kwenye mapokezi ya pinda la sivyo wangechukuliwa hatua sasa huu si ujinga, jaribu kupima akili ya huyu anayempokeza jk kushinda
 
Waliandaliwa hao baada ya kuona MP hana mvuto kama wa Slaa na Chadema.

Labda hawakumwambia au waliact kama hawajui!! Hakuna Mtanzania wa kawaida sasa hivi anayeweza kufanya hivyo bila malipo!
 
weka picha hapa dogo kama wenzio wa chadema walivyokuwa wanaziweka wakati wa operesheni sangara, vinginevyo ondoa hizi pumba zako hapa!!!
 
Win win sutuation. Kila chama kina wafuasi wake hapa nchini. Kichwa cha habari kingefaa kisomeke.

"Waziri Mkuu Pinda apokelewa na mabango ya wana CCM ya kulaani Maandamano ya amani ya Chadema"
 
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amepokewa wilayani Missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za CHADEMA zinazoashiria uvunjivu wa amani.Katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi hao jana walibeba mabango yanayosomeka 'maandamano, vurugu, jeshi haviwezi kuongoza nchi, hiyo si demokrasia' na ëTendwa chukua hatua dhidi ya CHADEMA sasa'.

Hata hivyo, mabango mengine yalikuwa yakitoa pongeza na kumkaribisha Pinda wilayani humo, ambayo yalisomeka: ëHongera Rais Jakaya Kikwete kwa ushindi katika uchaguzi mkuu' na 'Karibu Missenyi mtoto wa mkulima Mizengo Pinda'.Waziri Mkuu alipokewa kwa mabango hayo katika uwanja wa Mashujaa, Gunazi, ambako aliyasoma baadhi kabla ya kuanza kuhutubia wananchi.

"Tangu nimeanza ziara mkoani Kagera sijakutana na hali hii," alisema Pinda baada ya kusoma mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na wananchi wa rika tofauti.

Awali, akiwa katika wilaya za Karagwe na Ngara, Pinda aliwataka wananchi kukataa kitu chochote kinachoweza kuwaondoa katika amani waliyoizoea.

Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo baada ya baadhi ya wananchi waishio mipakani kutoa kilio chao kuwa, viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipita na kuwatisha, wakitaka wawaunge mkono kuiondoa serikali madarakani watakapoamua kuingia msituni kutumia nguvu ya umma.

Pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.

ìUkimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.

Rudi tena darasani, Watanzania wa sasa sio wa enzi zile, pole sana, nilikuwa nakuona ni kijana wa kuona mbali kumbe ni bora kijana, unavaa suti tunafikiri upo safi hapo juu kumbe ndivyo ulivyo, fikiria upya ndugu hutafanikiwa kwa mwendo huu.
 
umeona eeeh?? nashaga na magezi lol

Hata Saadam Husein alishinda kwa asilimia 98, alivyopinduliwa tuliona hiyo 98% ikishangilia mitaani kuanguka kwake....

Quadafi naye...

Hata HILTER naye aliingia mmadarakani kwa kuchaguliwa.

Pol Pot naye...

Husein Mubarak pia....

Kwa kuwa wajinga ndo huishabikia CCM... sioni ajabu hata wakiwa na bango" kikwete tunaomba uwe rais wa maisha kwa mambo makubwa uliyotufanyia"

Kwanza Location yako inathibitisha kuwa umesimuliwa... kilaza wewe.... Pamoja na kuiba mmepata 61% (11% juu ya nusu) sasa je msingeiba?? Na kwa kaawaida mwizi huiba kikubwa... kwa mtazamo wangu muliiba zaidi ya asilimia 30 za kura zetu... jifarijini kwa kuwa na wewe unasomeshwa na Rostam huko ZA. Kiazi mkubwa wewe............
 
hiyo picha kama ni mhusika basi lazima wenzie wanampakata! lazima atakuwa punga huyu.anachoongea na mwonekano havina tofauti.
 
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amepokewa wilayani Missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za CHADEMA zinazoashiria uvunjivu wa amani.Katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi hao jana walibeba mabango yanayosomeka 'maandamano, vurugu, jeshi haviwezi kuongoza nchi, hiyo si demokrasia' na ëTendwa chukua hatua dhidi ya CHADEMA sasa'.

Hata hivyo, mabango mengine yalikuwa yakitoa pongeza na kumkaribisha Pinda wilayani humo, ambayo yalisomeka: ëHongera Rais Jakaya Kikwete kwa ushindi katika uchaguzi mkuu' na 'Karibu Missenyi mtoto wa mkulima Mizengo Pinda'.Waziri Mkuu alipokewa kwa mabango hayo katika uwanja wa Mashujaa, Gunazi, ambako aliyasoma baadhi kabla ya kuanza kuhutubia wananchi.

"Tangu nimeanza ziara mkoani Kagera sijakutana na hali hii," alisema Pinda baada ya kusoma mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na wananchi wa rika tofauti.

Awali, akiwa katika wilaya za Karagwe na Ngara, Pinda aliwataka wananchi kukataa kitu chochote kinachoweza kuwaondoa katika amani waliyoizoea.

Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo baada ya baadhi ya wananchi waishio mipakani kutoa kilio chao kuwa, viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipita na kuwatisha, wakitaka wawaunge mkono kuiondoa serikali madarakani watakapoamua kuingia msituni kutumia nguvu ya umma.

Pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.

ìUkimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.

Oooh na hilo la mabango mmedesa!!! Kumbe yale mabango kwenye maandamano ya CDM yaliwauma sana mpaka imebidi mpike ya kwenu. Hongereni sana kwa kudesa.
 
Kashanga na mwendo wake wa kuongeza umaarufu ndani ya JF, Najua hata mimi nikiamua kuiponda CDM watu watachangia sana post yangu.

Hiki ndicho ninachokiona kwa huyu jamaa!. hongera kwa kuwa Creative
 
kofia na khanga hizo, wamewanunua hao kama kawaida yao ccm kununua watu kwa Khanga na kofia:lol
 
hiki kitengo cha propaganda kimeongezewa nguvu TH peke yake ameelemewa kazana mkubwa ndio ajira yako
 
huyu kweli kashaga...muhaya haswaaaa..........
 
Kashaga unafikiri viongozi wa CCM misenyi wasingeandaa hayo mabango wangejipendekeza vipi kwa Pinda, ila umesahau kusema kuwa waliuokuwa wamebeba mabango hayo pia walivaaa vulana za njano na kijani na kumechi na kofia za njano pia, ila umesahau pia kusema wengi wa hao wabebaji pia walikuwa na sura za kukata tamaa ya maisha ila walipozwa na 10000 za mlo wa siku hiyo! hiyo ndio CCM bana!
 
umeona eeeh?? nashaga na magezi lol

Iwe na Pinda wawe mulibarwaile nimulemaza abana baitu na amabango mwafakara!

Tena wagonjwa wa akili, CDM hawaongi watu ili wabebe mabango, wanaandamana wenyewe. Pinda wa watu adanganywa kuwa ni watu wa Misenyi kumbe ni hila za CCM na yeye anakubali.

Hata bila CDM watu wakiona mambo yanazidi kuwa magumu wataandamana tuu, mkiwauwa mtapelekwa Hague mkajibu tuhuma za mauaji!!!!! Waulize kina Ocampo Six Nairobi, upo!
 
Back
Top Bottom