pinda apokewa na mabango yanayoishutumu CHADEMA

pinda apokewa na mabango yanayoishutumu CHADEMA

Kule kwetu tuna mbwa ambao huitwa mbwa wa mtoto. Kazi ya mbwa hawa ni kuwasafisha watoto. Yaani mtoto akijisaidia mbwa huyu huitwa na kumlamba mtoto ikiwa kama njia ya kumsafisha.

Kwa kile ulichokiandika mimi ningependa kuwa mbwa wa mtoto kuliko kazi unayoifanya.
 
hivi haya magazeti yetu yanauzwa hadi RSA eeh?

Hahaaa haaaa lol! Uyu jamaa kakosa jipya anajifanya reporter wa habari kumbe yupo Russia duh hii kali, ina maana hayo magazeti ya Chama yanapatikana mpaka nje hii kali. Ushauri wangu huyu asitufanye sisi watoto na kutudanganya...
 
habari hii imeandikwa na magazeti ya leo sasa we kama unafikiri nimetunga kalagha bao coz sie huwa tunapitia magazeti yote ya kila siku sijui mara yako ya mwisho kununua gazeti ni lini? pole mama nenda ukameze panadol

We si upo Russia unawezaje kupitia magazeti yote ya hapa Tanzania? Hebu niambie ni gazeti gani lilo ripoti hiyo habari.

Ukinisaidia kwa hili nitakuheshimu zaidi ya hapo nitakuona wewe ni mhuni, laghai na tapeli
 
We si upo Russia unawezaje kupitia magazeti yote ya hapa Tanzania? Hebu niambie ni gazeti gani lilo ripoti hiyo habari... Ukinisaidia kwa hili nitakuheshimu zaidi ya hapo nitakuona wewe ni mhuni, laghai na tapeli
point of information,RSA sio RUSSIA ni REPUBLIC OF SOUTH AFRICA(RSA) nenda ukavisit uhuru.com(gazeti la uhuru) tafuta tarehe ya jana utaona hiyo news katika ukurasa wa habari mbalilmbali
 
waziri mkuu mizengo pinda, amepokewa wilayani missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za chadema zinazoashiria uvunjivu wa amani.katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi hao jana walibeba mabango yanayosomeka 'maandamano, vurugu, jeshi haviwezi kuongoza nchi, hiyo si demokrasia' na ëtendwa chukua hatua dhidi ya chadema sasa'.


hata hivyo, mabango mengine yalikuwa yakitoa pongeza na kumkaribisha pinda wilayani humo, ambayo yalisomeka: ëhongera rais jakaya kikwete kwa ushindi katika uchaguzi mkuu' na 'karibu missenyi mtoto wa mkulima mizengo pinda'.waziri mkuu alipokewa kwa mabango hayo katika uwanja wa mashujaa, gunazi, ambako aliyasoma baadhi kabla ya kuanza kuhutubia wananchi.

"tangu nimeanza ziara mkoani kagera sijakutana na hali hii," alisema pinda baada ya kusoma mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na wananchi wa rika tofauti.

awali, akiwa katika wilaya za karagwe na ngara, pinda aliwataka wananchi kukataa kitu chochote kinachoweza kuwaondoa katika amani waliyoizoea.

waziri mkuu pinda alitoa kauli hiyo baada ya baadhi ya wananchi waishio mipakani kutoa kilio chao kuwa, viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipita na kuwatisha, wakitaka wawaunge mkono kuiondoa serikali madarakani watakapoamua kuingia msituni kutumia nguvu ya umma.

pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.

ìukimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.

leta utamu leta picture kama walizo kuwa wanatoa cdm na dr slaa wao, nasubiri kwa hamu
 
Mabango hayo yaliandaliwa na utawala nao wakabebeshwa tu pambaaaaaaf sao...!
 
kunawatu wametumwa, ni mmoja wao huyu!! usipate shida na watu wa jinsi hii.
 
Hao watu waliandaliwa na mabango yaliandaliwa na viongozi wa ccm.
 
Pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.

ìUkimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.[/QUOTE]

HII NI AIBU KWA MTU KAMA WEWE KUWEKA UTUMBO WA WAZIRI WAKO MKUU.....

HII NCHI IMEWASHINDA CCM WEWE UKIWA NI MMOJA WA VIBARAKA...

KAMA HUNA KAZI GET LOST IN HERE....

CHADEMA WILL RULE THIS COUNTRY WHETHER U LIKE O NOT...
 
kashaka jinalako linaonyesha ulivyo mshamba nyie ndiyo mnaburuzwa mpaka mwisho wa dunia, CCM wote mmepinda kama pinda(PM)


Angalia hata hiyo Avatar yake, mshamba mshamba fulani mwenye njaa asiye jua hata kwanini ana njaa, anataka aonwe na akina pinda apewe cheo, hakuna cheo endelea kuganga njaa tu, ukweli wa chadema utadhihirika hivi karibuni tu kaa macho kama hutaaza kusifia chadema tena, kuanza kuganga njaa kwa viongozi wa chadema hatimaye, nyie wengine ni kama mabendera tu.
 
Back
Top Bottom