Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amepokewa wilayani Missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za CHADEMA zinazoashiria uvunjivu wa amani.
Katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi hao jana walibeba mabango yanayosomeka 'maandamano, vurugu, jeshi haviwezi kuongoza nchi, hiyo si demokrasia' na ëTendwa chukua hatua dhidi ya CHADEMA sasa'
Hata hivyo, mabango mengine yalikuwa yakitoa pongeza na kumkaribisha Pinda wilayani humo, ambayo yalisomeka: ëHongera Rais Jakaya Kikwete kwa ushindi katika uchaguzi mkuu' na 'Karibu Missenyi mtoto wa mkulima Mizengo Pinda'.Waziri Mkuu alipokewa kwa mabango hayo katika uwanja wa Mashujaa, Gunazi, ambako aliyasoma baadhi kabla ya kuanza kuhutubia wananchi.
"Tangu nimeanza ziara mkoani Kagera sijakutana na hali hii," alisema Pinda baada ya kusoma mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na wananchi wa rika tofauti.
Awali, akiwa katika wilaya za Karagwe na Ngara, Pinda aliwataka wananchi kukataa kitu chochote kinachoweza kuwaondoa katika amani waliyoizoea.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo baada ya baadhi ya wananchi waishio mipakani kutoa kilio chao kuwa, viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipita na kuwatisha, wakitaka wawaunge mkono kuiondoa serikali madarakani watakapoamua kuingia msituni kutumia nguvu ya umma.
Pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.
ìUkimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.
[/QUOTE]
Iwe na Pinda wawe mulibarwaile nimulemaza abana baitu na amabango mwafakara!!!!. Tena wagonjwa wa akili, CDM hawaongi watu ili wabebe mabango, wanaandamana wenyewe.
Pinda wa watu adanganywa kuwa ni watu wa Misenyi kumbe ni hila za CCM na yeye anakubali. Hata bila CDM watu wakiona mambo yanazidi kuwa magumu wataandamana tuu, mkiwauwa mtapelekwa Hague mkajibu tuhuma za mauaji!!!!! Waulize kina Ocampo Six Nairobi, upo!!!!!!!!!!!!
Tena ni Bunazi sio Gunazi!