pinda apokewa na mabango yanayoishutumu CHADEMA

niwaelimishe ndugu zangu:
Ccm tukitaka tukubalike kwa wananchi kwa hiari, tutekeleze ilani ya chama na ahadi za uchaguzi. Pia tuache kuogopana na kupendeleana....hivi vtiatuondoa madarakani na kukataliwa katika jamii, tupende tusipende huo ndio mwelekeo. Mwenye macho? Kila mwenye sikio....
wamekusikia mkuu
 
We jamaa na hisi umeganda POST zako zote unaambuliwa shoga,****,msthenge,Hivi ni kazi gani hiyo umetumwa kumeza matusi ya watu.
 
Hii habari ina utata mkubwa, wakati CCM kagera wametoa tamko kuwa CHADEMA wamefunika mkoa, wewe unaleta habari nyingine kabsaa, hivi hebu tujiulize, ni kweli kwamba yale yanayohubiriwa na chadema wanawagusa wana chademe pekee? yaani DOWANS, maisha magumu, nauri kupanda, mfumko wa bei, n.k.

Ni kupungukiwa hoja kusema CHADEMA wanataka kupindua nchi. hawa jamaa wanajaribu kuwaeleza wananchi ukweli uliopo na ambao hata wananchi wanau feel.

Hata hivyo CHADEMA kama chama hawana uwezo huyo wa kufanya mapinduzi kwa hiyo nguvu ya umma. Ni wajibu wa serkali ya CCM kushughulikia matatizo ya msingi yanayowakabiri wananchi, na kwa kufanya hivyo CHADEMA watakosa hoja ya kuzungumza.

Angalia awamu ya kwanza ya uongozi wa mzee Ben Mkapa, wapinzani walikosa hoja maana jamaa alikuwa anapiga kazi kwelikweli, anzia barabara, bei ya bidhaa, hela kibao ktk hazina, na walau heshma ya nchi na wafanyakazi ilirudi. Tatizo la serkali hii, haiwezi ha kukopi na kupesti, utakuta kila waziri anatamka lile linalokuja kichwani mwake. Dereva anakula upepo tu.

Waacheni CHADEMA wawaeleze wananchi yale wanayozibwa mdomo kuyasema pale Bungeni...wameamua kurudi kwa wananchi
 
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amepokewa wilayani Missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za CHADEMA zinazoashiria uvunjivu wa amani.Katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi hao jana walibeba mabango yanayosomeka 'maandamano, vurugu, jeshi haviwezi kuongoza nchi, hiyo si demokrasia' na ëTendwa chukua hatua dhidi ya CHADEMA sasa'.

Hata hivyo, mabango mengine yalikuwa yakitoa pongeza na kumkaribisha Pinda wilayani humo, ambayo yalisomeka: ëHongera Rais Jakaya Kikwete kwa ushindi katika uchaguzi mkuu' na 'Karibu Missenyi mtoto wa mkulima Mizengo Pinda'.Waziri Mkuu alipokewa kwa mabango hayo katika uwanja wa Mashujaa, Gunazi, ambako aliyasoma baadhi kabla ya kuanza kuhutubia wananchi.

"Tangu nimeanza ziara mkoani Kagera sijakutana na hali hii," alisema Pinda baada ya kusoma mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na wananchi wa rika tofauti.

Awali, akiwa katika wilaya za Karagwe na Ngara, Pinda aliwataka wananchi kukataa kitu chochote kinachoweza kuwaondoa katika amani waliyoizoea.

Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo baada ya baadhi ya wananchi waishio mipakani kutoa kilio chao kuwa, viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipita na kuwatisha, wakitaka wawaunge mkono kuiondoa serikali madarakani watakapoamua kuingia msituni kutumia nguvu ya umma.

Pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.

ìUkimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.

Wewe ni muongo wa kutupa eneo la tukio hakukuwa na bango hata moja, japo watu walilazimishwa kuhudhulia na kutengeneza mabango na ingekuwa kulikuwa na mabango ungeyaweka hapa jukwaani maana kwasasa kupata bango linalounga mkono CCM ni nadra sana. Photoshoped objects are strictly discouraged
 
Kashaga unafanana exactly na mbwa wangu
masauni wacha kumfananisha binaadamu mwenzako na mbwa kisa kasema ukweli kwayale aliyoyaona huko misenyi,ukifungiwa mnaanza kulalamika eti umeonewa,je binadamu unaweza kumfananisha na mbwa?

Mod shughulikia hili jambo la kudhalilisha utu wa mtu.
 
Km mabango hayo yalibebwa na wakimbizi wa kyaka ni sawa maana karibu tarafa nzima ya kyaka imejaa wakimbizi kwa kuwa wanabembeleza CCM icwatimue na makao makuu ya wilaya yapo Kilometa 20 toka mpk wa Uganda lkn ninavyowaju watu wa Misenyi km kule Kiziba na Kanyigo kwa wasomi hawawezi kufanya ujinga huo.
 
Hivi huko misenyi nako kuna DCM za kuwapeleka wenye njaa kusikiliza hotuba, maana najua Pinda hana mvuto wa kuvuta watu sawasawa na JK ambaye ilibidi kubeba watu mbagala , bagamoyo, kisarawe mpka mkuranga kuwaleta jangwani kipindi cha kampeni haishangazi hata kukodi watu kuhudhuria mkutano na kubeba bango la kashfa kwa sababu ya njaa na umaskini kwani mtaji wa chama cha mafisadi ni umaskini na ujinga.

Weka picha tuone idadi ya watu usisahau kuzoom maana najua watakuwa wachache.
 
masauni wacha kumfananisha binaadamu mwenzako na mbwa kisa kasema ukweli kwayale aliyoyaona huko misenyi,ukifungiwa mnaanza kulalamika eti umeonewa,je binadamu unaweza kumfananisha na mbwa? Mod shughulikia hili jambo la kudhalilisha utu wa mtu.

Asifungiwe masauni, anaweza akathibitisha hilo kwa mfano, mbwa wake ana pua, masikio, macho, mdomo na uwezo wa kutoa sauti, je kashaga hana hizo tabia?
 
kashaga acha hizo ndugu. wengi wape!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! we huoni uko peke yako na hiyo ccm. watu karibu wote wanakupinga. duuuuuuuuuuu.
 
Asifungiwe masauni, anaweza akathibitisha hilo kwa mfano, mbwa wake ana pua, masikio, macho, mdomo na uwezo wa kutoa sauti, je kashaga hana hizo tabia?
je wewe huna hizo sifa kama za mbwa wa masauni?kua napua mdomo namasikio sio sababu yakumfananisha mbwa na binadamu,nenda kasome vitabu vya dini unayoiamini na unipe maandiko au aya wapi binadam ameruhusiwa kumfananisha mwenzie na mbwa??
 
Hizi ni bangi kabisa , hawa jamaa wa misenyi hawawezi fanya upuuzi kama huo, kama waliweza kumkataa Phd Kamala!.... hawawezi kubeba mabango ya kulaani CDM wakati ndio chama walichkichagua kabla ya kuibiwa kura zao!

Ni yaleyale ya wakati wa kampeni. Kubeba wana CCM toka mkoa mmoja kwenda kwingine.

Nilishangaa juzi huko Kagera jamaa PM anahutubia watoto wadogo kibao, wananchi hawapo zaidi ya viongozi wa wilaya, nadhani watoto walikwenda kushuhudia su..yake!
 
Kufananishwa na mbwa haifai, nadhani ameropoka, msameheni tu pengine ndivyo alivyolelewa kwa kuambiwa binadamu anafanana na mbwa, ujuwe uswahilini watu wanatukaniwa ,...sura kama mbwa nk
Changieni hoja sio matusi hayo yako CCM
 
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amepokewa wilayani Missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za CHADEMA zinazoashiria uvunjivu wa amani.Katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi hao jana walibeba mabango yanayosomeka 'maandamano, vurugu, jeshi haviwezi kuongoza nchi, hiyo si demokrasia' na ëTendwa chukua hatua dhidi ya CHADEMA sasa'.

Hata hivyo, mabango mengine yalikuwa yakitoa pongeza na kumkaribisha Pinda wilayani humo, ambayo yalisomeka: ëHongera Rais Jakaya Kikwete kwa ushindi katika uchaguzi mkuu' na 'Karibu Missenyi mtoto wa mkulima Mizengo Pinda'.Waziri Mkuu alipokewa kwa mabango hayo katika uwanja wa Mashujaa, Gunazi, ambako aliyasoma baadhi kabla ya kuanza kuhutubia wananchi.

"Tangu nimeanza ziara mkoani Kagera sijakutana na hali hii," alisema Pinda baada ya kusoma mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na wananchi wa rika tofauti.

Awali, akiwa katika wilaya za Karagwe na Ngara, Pinda aliwataka wananchi kukataa kitu chochote kinachoweza kuwaondoa katika amani waliyoizoea.

Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo baada ya baadhi ya wananchi waishio mipakani kutoa kilio chao kuwa, viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipita na kuwatisha, wakitaka wawaunge mkono kuiondoa serikali madarakani watakapoamua kuingia msituni kutumia nguvu ya umma.

Pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.

ìUkimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.

Wewe upo "South Africa". Ya Misenyi umeyajuaje hali waliopo huko na walihudhuria mkutano wa Pinda hawajayaona?

Picha za hayo mabango ziwapi? Za chadema tuliziona, weka na hizo zako tuzione. Ulipenda iwe hivyo unavyosema, lakini haikuwa hivyo.
 
Wewe KASHOGA usiongopee watu, Wahaya ni wajanja hawawezi kupongeza mlezi wa mafisadi.

Hivi kila unachoambiwa na RA unafanya, akikuambia inama utakataa? Ama kweli we ni KASHOGA.
 
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amepokewa wilayani Missenyi kwa mabango yanayokemea kauli za CHADEMA zinazoashiria uvunjivu wa amani.Katika hali inayoonyesha kukerwa na siasa za namna hiyo, wananchi hao jana walibeba mabango yanayosomeka 'maandamano, vurugu, jeshi haviwezi kuongoza nchi, hiyo si demokrasia' na ëTendwa chukua hatua dhidi ya CHADEMA sasa'.

Hata hivyo, mabango mengine yalikuwa yakitoa pongeza na kumkaribisha Pinda wilayani humo, ambayo yalisomeka: ëHongera Rais Jakaya Kikwete kwa ushindi katika uchaguzi mkuu' na 'Karibu Missenyi mtoto wa mkulima Mizengo Pinda'.Waziri Mkuu alipokewa kwa mabango hayo katika uwanja wa Mashujaa, Gunazi, ambako aliyasoma baadhi kabla ya kuanza kuhutubia wananchi.

"Tangu nimeanza ziara mkoani Kagera sijakutana na hali hii," alisema Pinda baada ya kusoma mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na wananchi wa rika tofauti.

Awali, akiwa katika wilaya za Karagwe na Ngara, Pinda aliwataka wananchi kukataa kitu chochote kinachoweza kuwaondoa katika amani waliyoizoea.

Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo baada ya baadhi ya wananchi waishio mipakani kutoa kilio chao kuwa, viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipita na kuwatisha, wakitaka wawaunge mkono kuiondoa serikali madarakani watakapoamua kuingia msituni kutumia nguvu ya umma.

Pinda aliwataka wananchi kutokubali jambo lolote linaloweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi, hivyo wapuuze wanaoneza chuki.

ìUkimuona mtu anahamasisha watu kufanya maandamano na kuwashawishi kutumia mapanga ili wapate serikali huyo ni mtu aliyekosa kazi ya kufanya, msimsikilize wala kumpa nafasi. Wasiwanyime usingizi, fanyeni kazi ili kujiletea maendeleo, alisema.

Hiyo ndiyo siasa. Ulidhani kuandika mabango ni kazi ngumu? Hizo ni propaganda za kina Tambwe Hiza. Amka ndugu yangu.
 
Kadanganye Vihiyo wenzako, kila mwenye akili analijua hili haha wakati wa kampeni mlikuwa mnasafirisha watu kuja kwenye mikutano yenu ili mwonekane mnakubalika.................puuuuuuuuuuuuu, fyuuuuuuuuuu.

Utamaduni wetu hapa JF huwa unatakiwa unamgonga mtu na ushaidi kama huu hapa chini.
CCm2010.jpg
 
Back
Top Bottom