Hivi Pinda na yeye si mjumbe wa hivyo vikao vya chama? Mbona hakuleta malalamiko na mashauri yake kwenye vikao vya chama? au yeye ni exception kwenye hiyo kanuni anayotaka wenzie wafuate?
hapa ndio utaelewa kuwa viongozi wetu ni watu wanafki wanafki tu, total HYPOCRITES.Hivi Pinda na yeye si mjumbe wa hivyo vikao vya chama? Mbona hakuleta malalamiko na mashauri yake kwenye vikao vya chama? au yeye ni exception kwenye hiyo kanuni anayotaka wenzie wafuate?
pinda ni mtu mzima na akili zake, hayo maoni yako ni finyu, siunajua mtu mzima siku zote anabusara? tafakari, chukua hatuaNdugu zangu huyu waziri mkku pinda nahisi kama amepindisha ukweli. Nimemsikiliza kwa makini wakati akijibu swali kuhusu kauli za viongozi wastaafu akiwemo Sumaye. Eti anasema walipaswa watumie vikao vya ndani kuwasilisha malalamiko yao badala ya kutumia vyombo vya habari. Halafu akafika mbali zaidi aliposema kwamba kwa nafasi zao wanaweza hata kumwona rais moja kwa moja na akawasikiliza na kuwapa suluhisho. Huyu 'mtoto wa mkulima' anajifanya hajui kuwa bosi wake ndiye mwanzilishi na kinara wa siasa za makundi. In fact, jeuri na majigambo ya akina shigela na kundi lake la ridhiwan yana kila dalili kuwa wametumwa na bosi wake na katibu mkuu mropokaji. Kwa hiyo, njia aliyotumia Sumaye mimi naiunga mkono kwa asilimia mia moja kabisa.
pinda ni mtu mzima na akili zake, hayo maoni yako ni finyu, siunajua mtu mzima siku zote anabusara? tafakari, chukua hatua
Ndugu zangu huyu waziri mkku pinda nahisi kama amepindisha ukweli. Nimemsikiliza kwa makini wakati akijibu swali kuhusu kauli za viongozi wastaafu akiwemo Sumaye. Eti anasema walipaswa watumie vikao vya ndani kuwasilisha malalamiko yao badala ya kutumia vyombo vya habari. Halafu akafika mbali zaidi aliposema kwamba kwa nafasi zao wanaweza hata kumwona rais moja kwa moja na akawasikiliza na kuwapa suluhisho. Huyu 'mtoto wa mkulima' anajifanya hajui kuwa bosi wake ndiye mwanzilishi na kinara wa siasa za makundi. In fact, jeuri na majigambo ya akina shigela na kundi lake la ridhiwan yana kila dalili kuwa wametumwa na bosi wake na katibu mkuu mropokaji. Kwa hiyo, njia aliyotumia Sumaye mimi naiunga mkono kwa asilimia mia moja kabisa.
Hana hoja, ni wa kupuuza.
Haya malumbano yanayotokea sasa ndani ya CCM hayana tofauti kabisa na masahibu aliyofanyiwa Magufuli. Kulikuwa na sababu gani kwenda kumshtaki Magufuli kwa wananchi, tena nyumbani mbele ya wapiga kura wake na wizarani kwa wale anaowaongoza. Ninaamini kwa dhati kabisa shambulizi ambalo Pinda na JK walimfanyia Magufuli wangeweza kulimaliza ndani ya vikao vya Baraza la Mawaziri. Sasa kama vikao vya Baraza la Mawaziri haviwezi kutumika kuonyana au kubadili mienendo ya utendaji, huko huwa wanajadili vitu gani??
Kwa ufupi ni kwamba chama kimeparaganyika na serikali yake pia imeparaganyika. Malumbano ya sasa ni harakati mahsusi kwa pande zinazosigana kukomoana.
Nyani haoni kundule, Pinda aangalie kibanzi ndani ya jicho lake mwenyewe kwanza kabla ya kuwaangalia wenzake.
Mtoto wa mkulima my a.ss
Pinda alishapoteza credibility pale alipodai kuwa hata wamkate kichwa hawezi kuongelea Meremeta. Ni kitu gani ambacho kili-justfy hiyo statement kama si kuchungulia kwenye makoti ya fisadiz? Kwa kuwa wewe ni mtoto wa mkulima, ukiona mali ya wakulima kama wewe inafujwa, kuibwa basi sharti ni kukataa katakata kusimamia ukweli na kushindwa kukaripia uchafu huo....anha?