Pinda amechukua rushwa? PCCB waende kumhoji!

Pinda amechukua rushwa? PCCB waende kumhoji!

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
25,097
Reaction score
27,192
Habari kutoka Sumbawanga zinasema watu wana hasira na Mizengo Pinda baada ya kumuamuru msimamizi wa uchaguzi Sumbawanga Mjini kumtangaza jamaa fulani mjinga mjinga awe mbunge. Watu wanashangaa iweje Pinda awe na mamlaka kwenye tume ya uchaguzi, hali iliyosababisha jimbo hilo kuwa na mbunge mwenye elimu ya darasa la saba. Awali mbunge wa CHADEMA ambaye ni msomi alikuwa ameshinda uchaguzi huo. Habari zaidi zinasema CHADEMA wamejipanga kufungua kesi mahakamani na miongoni mwa watakaoshitakiwa ni Pinda.
 
Jimbo hili sio la kwanza kuwa na mbunge ambaye kieleimu ameishia darasana la saba.

Weka data kwenye habari ya Pinda kuchukua rushwa, vinginevyo umezua.
 
Darasa la saba CCM mbona wako kama nane ivi na wamepita.
Izo tetesi za rushwa ata nami nimezisikia ila ni kuwa jamaa wa CHADEMA aliahidiwa mlungula ila akakataaaaaaaaaaaaaaa
 
Uchaguzi wa amani na utulivu

CUFBuguruni16.jpg
 
Uzushi mtupu jamaa kashindwa kiharali kabisa.
Darasa la saba sio sababu
 
Kama naye mkombe, Pinda, ameanza haya, hhhhhhhhhhhhh, hapo sasa hapana.
 
ni Kweli huyu mgombea wa CCM Sumbawanga mjini ni DARASA LA SABA, i confirmed, aibu tupu, hivi atasema nini bungeni?
 
Huko ndiko tunakoshikiliwa line ya mabadiliko
 
mgombea kuwa msomi inasound! Fikilia mtu kama majimarefu atafanya nn bungeni jamani!??
 
ni Kweli huyu mgombea wa CCM Sumbawanga mjini ni DARASA LA SABA, i confirmed, aibu tupu, hivi atasema nini bungeni?

On the same note unasahau kwamba mgombea mwenza wa Dr. Slaa pia ni darasa la saba???

Wekeni data za Mhe. Mizengo Pinda kupokea rushwa na pia jinsi alivyoagiza NEC kumtangaza aliyeshindwa kinyan'ganyiro
 
Hii iliwahi kuwamo humu enzi zile za uchaguzi!
 
Leo ukweli umejidhihirisha mtoa rushwa amejulikaa na alietakiwa kushinda ameshajulikana!naonea huruma pesa zetu wachimba chumvi bana uchaguzi tena????aahh gharama za nini jamani!!
 
Back
Top Bottom