Tunatambua ulimuahidi Dr. Ulimboka kwamba atapata matatizo, ulijitahidi kumchonganisha na wananchi lakini naamini mungu ni mkubwa ulidhamiria kumuua lakini mungu alipanga kumlinda. nakukumbuka ulikuwa mkarisimatiki, sijui kama siku hizi bado unasali, ni masikitiko makubwa kwani bado mungu anaendelea kuudhihirisha kuwa wewe ni mtu wa kufeli,ndio maana ulishindwa na hukuwahi kufanikiwa kwenye chochote hata mango wako wa kumuuwa ulimboka utafeli.