Pinda alishamuahidi Dr. Ulimboka alipokuja CPL kuwa atapata matatizo

Mnakumbuka kauli ya Pinda kwa waliokuwa CPL -MNH siku hiyo.? . . .nanukuu. .

Ulimboka
: Tunaomba kusiwe na victimization ya aina yoyote. .

Pinda: Hakutakuwa na victimization lakini mkikuta kapigwa na majambazi au kagongwa na gari msiseme ni serikali' mwisho wa nukuu

here you go Pinda, taifa linasubiri maelezo ya kina kuhusu mkasa huu wa dr. Ulimboka?!
 
Hakuna mtu wa kuweza kutimiza ahadi kwa serikali ya Kikwete.
Ahadi ya Pinda ilikuwa kumuua.
Still kashindwa.

Jamaa ana guts kweli kweli ametuma mtu kwenda kumalizia kazi lakini madaktari wamemgutukia na kumpa kipigo cha mbwa mwizi. Alaaniwe rais dhaifu, alaaniwe waziri mkuu dhaifu ilaaniwe serikali dhaifu, ilaaniwe ccm, walaaniwe wote wanaowaunga mkono mafisadi na wauaji.
 
Hatutakiwi kufika hapa. Serikali katika situation kama hii ya mgomo ni fika kuwa Dr. alikuwa anakuwa monitored in each and every of his move. Hiki hakikuwa kipindi kwa bwana Ulimboka kuingiliwa hata na kibaka achana na majambazi. Kama vyombo vyetu vya dola viliacha hili litokee basi itaonyesha ni kiasi gani tuna matatizo makubwa kuliko hata hili la mgomo. Ee Mungu tuepushie mbali
 
Hivi mama ako amezaa na nani vile emu nikumbushe?

Nahisi wewe huna akili, au kama unazo basi kwa sasa akili zako zimepungukiwa na akili mbili. Unauliza swali ambalo hata mtoto anayejifunza kusoma asingeuliza, hivi huoni jina la pili katika hii username? Au umefiwa katika huu mgomo wa kijinga wa madaktari?
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.

Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA

Inachekesha saana ina maana hata baba yake Mp akifa leo mtasema ni CDM? Tulidanganywa tukiwa zama za giza sasa ni Nuru.
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.

Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA
plan 'yenu' ni ya kitoto.so watu wenu wanojiita usalama wa taifa uwezo wao wa kufikiri na serikali yenu dhaifu mliona mkifanya hivyo
na mkaja na maelezo hayo ndo mtakuwa mmejivua responsibility?jamii ya watu wenye akili wanaona mbele zaidi ya hapo mlipofikia!
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.

Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA

Hivi mgomo wa madaktari unahusishwaje na CHADEMA.

Na kwa uelewa wako na uzoefu ulionao ni mambo mangapi Serikali ya CCM hususan Serikali ya awamu ya nne imewahi kupanga na kuyatekeleza kwa ufanisi. Hata mikakati inayoandaliwa ndani ya CCM yenyewe haijawahi kufanikiwa hata mmoja!
 
Kazi ndio kwanza imeaanza,madaktari wasikubali mpaka ulimboka apone,ndio atakayeongoza majadiliano,serikali dhaifu hii how many will you kill???
 
Natamani kuona jua la kesho!
kesho tu itafika! Ni lini lakini siku hii tuiitayo kesho itafika?
Hapana kesho huwa haifiki! Ni bora nianze sasa!
Naam mimi naanza safari ya ukombozi sasa! Saa ya ukombozi ni sasa!
Hebu shime tuianze safari hii!
Tutafika soon kama sio kesho basi hata mtondogoo

Get well soon Dr Ulimboka!
 
Back
Top Bottom