Pinda alishamuahidi Dr. Ulimboka alipokuja CPL kuwa atapata matatizo

Watamfanya chambo ili kuonyesha udhaifu uliopo katika secta ya afya, kwa mfano alitakiwa kufanyiwa CT scan haikuwezekana kwa sababu haifanyi kazi. Canula hamna ya kusaidia wamresuscitate, madawa hamna hivyo madaktari wenzake watamchangia ili wakamnunulie, vipimo vingi watachangishana ili kuonyesha tu jinsi mtanzania wa kawaida anavyohangaika kupata huduma ya afya, uzuri media itafuatilia hii habari hatua kwa hatua mpaka atakapokufa au kupona na hapo wananchi wataelewa kile madaktari wanachodai kila siku.
 
Hakuna mtu wa kuweza kutimiza ahadi kwa serikali ya Kikwete.
Ahadi ya Pinda ilikuwa kumuua.
Still kashindwa.

Tumuombee Dr. Steven Ulimboka apone mapema... MAPAMBANO BADO YANAENDELEA..
 
Mnakumbuka kauli ya Pinda kwa waliokuwa CPL -MNH siku hiyo.? . . .nanukuu. .

Ulimboka
: Tunaomba kusiwe na victimization ya aina yoyote. .

Pinda: Hakutakuwa na victimization lakini mkikuta kapigwa na majambazi au kagongwa na gari msiseme ni serikali' mwisho wa nukuu

Kazi ya majambazi siyo kupiga au kuua. Ujambazi ni kazi........ hivyo kila kazi wanayofanya lazima iwe ina uhusiano wa kuwaletea kipato. Sioni sababu ya mtu kutake such risk bila kuwa na sababu............. Cha muhimu hapa kujiuliza kama ni majambazi? What is the motive??? Kama ni serikali .....................??? What is the motive?? Ukipima hawa wawili kati ya serikali na jambazi na uhusiano wao na tukio la Ulimboka utaona kabisa nani anaweza kuwa na motive ya kufanya hilo jambo kwa Ulimboka........!! Kama ingekuwa ni kesi unafikiri jury ingeamua vip??
 
Hapo kugongwa na gari pananikumbusha kiongozi alietokea kuwa na mvuto kwa watu alieitwa Marehemu Edward Moringe Sokoine. Akina Kolimba ,Malima ...!

Malima? kigoma Ali Malima zaidi ya udini alikuwa na msaada gani kwa Tanzania??
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.

Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA
 
250995_412575955460231_1315467396_n.jpg ulimboka leo
 
Mnakumbuka kauli ya Pinda kwa waliokuwa CPL -MNH siku hiyo.? . . .nanukuu. .

Ulimboka
: Tunaomba kusiwe na victimization ya aina yoyote. .

Pinda: Hakutakuwa na victimization lakini mkikuta kapigwa na majambazi au kagongwa na gari msiseme ni serikali' mwisho wa nukuu

Upelelezi unaweza kuanzia hapa sasa!
Lakini nani atafanya huo upelelezi? Maana inawezekana waliohusika kumdhuru ndiyo watakaofanya upelelezi!
 
Cha kujiuliza ni kwmba kwanini jambo hili lisitokea kipindi chochote kabla ya mgomo ?
kwa nini hao jamaa hawakumteka mtu mwingine ?
Je Dr. alikua na tatizo na mtu yeyote mwingine zaidi ya mgomo?
My take kama mambo kama haya yanatendeka kwa sababu ya watu kutaka
haki yao basi nguvu ya umma itathibitisha hili waliwahi kuwapo watawala waliotumia dola vibaya
kama kina Gadafi leo wako wapi ,
 
Kazi ya majambazi siyo kupiga au kuua. Ujambazi ni kazi........ hivyo kila kazi wanayofanya lazima iwe ina uhusiano wa kuwaletea kipato. Sioni sababu ya mtu kutake such risk bila kuwa na sababu............. Cha muhimu hapa kujiuliza kama ni majambazi? What is the motive??? Kama ni serikali .....................??? What is the motive?? Ukipima hawa wawili kati ya serikali na jambazi na uhusiano wao na tukio la Ulimboka utaona kabisa nani anaweza kuwa na motive ya kufanya hilo jambo kwa Ulimboka........!! Kama ingekuwa ni kesi unafikiri jury ingeamua vip??
Hope Dr JK atamtembelea Dr Ulimboka na kutoa amri ya kupelekwa India kwa uchunguzi zaidi
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.

Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA

We mbona unatafutia wenzio ban zisizokuwa za lazima kama huna cha kuchangia kaa kimya.
 
Kwa nini kusiwe na CT Scan kila Kanda au mkoa kama ni kipimo muhimu au sio kipaumbele hii serikali haiko serious.
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA
Wewe utakuwa mwendawazimu, si bure!!!
 
Ulimboka is a hero.
Is getting the muximum care one can get in the country, i can call it "state of the art treatment" at least mazingira ya Tanzania.

Ngoja nifikirie tena labda naweza nikapata jibu la maana, hivi si ni haohao madaktari waliodai kuwa hakuna vifaa mahospitalini kwa ajili ya kutibia wagonjwa? Kama ni wao, leo hii wametoa wapi hivyo vifaa vya kutolea matibabu kwa mwanzao? Au huo mgomo una mengine zaidi ya hilo la kuwa na vifaa duni?.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Na wanasema wako kwenye mgomo na hawawatibu wananchi,ila wao wenyewe wanatibiana. Shame kwa madaktari wote wa Tanzania
 
Back
Top Bottom