Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Amewahi kulia bungeni.na wapigwe tu.
Mwanzoni nilifikiri Pinda anabusara ya kuona mbali!....
Hata hivyo bado sijaamini kama kweli katangaza nia hiyo.
Pinda ni zaidi ya shockabsorber katika serikali ya Jk nadhani bila Pinda nchi hii ilikuwa imeshamshinda Jk.Pinda na Jk wanatofautiana sana kimtazamo tumeshuhudia kauri nyingi za kizarendo kutoka kwa Pinda zinavyokinzana na kauri na maamuzi ya kipuuzi ya Jk mfano ni ile kauri iliyomuhusu Jairo.si hapo tu mafisadi wengi ni washikaji wa Jk sasa ulotegemea Pinda atabishana na Jk.kwa nyongeza naomba ujue kuwa Pinda aligomea uteuzi wa mara ya pili kuwa waziri mkuu baada ya kuahidiwa ushirikiano mzuri toka ikulu alikubali lakini kwa bahati mbaya ushirikiano alioutegemea hakuupata.kwa maoni yangu mtu msafi pekee kati ya wanaowania urais kupitia kijani ni Pinda peke yake coz amechangia kustablelise nchi hii baada Jk kuvurunda
Kuliko pinda bora awe lowasa tu
Mwaka ujao kuna movie nzuri sana, ngoja ninunue mashine ya pop corn kabisaa!
Lowasa kila siku yuko ujeruman kucheck afya ya sikio,huo muda wa kutumikia wananchi ataupata wapi?
Hahahaaah,,,,,,,,hii nafasi ya urais imekuwa rahisi sana, kila mtu hata kama hawezi anaitaka.