Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

Nchi ilipofikia rais ajaye kama ni Pinda basi ataongoza Taifa la wajinga - huyu(Pinda) ni hopeless kuongoza nchi masikini inayohitaji strong leadership , wakt wa hovyo hovyo type ya Pinda haupo tena.
 
Pinda ni mzembe urais hauwezi kabisaaa. Kina Kigangwalwa nao wanataka urais? Ama kweli nchi hii wengi ni wendawazimu
 
Pinda will remain in the history books as the worst Prime Minister to ever grace this post in this once was a great nation. Did the current CCM administration lower the standards of presidency to that extreme? Oh wait they already did!
 
Eti ana uzoefu wa 40 years - very poor statement! Nchi miaka yote hiyo imeendelea kuwa maskini yeye alifanya lipi la kukwamua poverty ya wtz jibu ni hakuna, leo apewe nchi kweli, nakwambia sijawahi kuiba serikalini, huyu akaichukua naanza kuiba nitaona hakuna tunachofanya tofauti na viongozi vapour !
 
Yes. Ni zamu ya Katavi sasa. Go Pinda goooooo!!!! Hahahaha, my country.
 
Niliwahi kuandika uzi kutoka inner circles za CCM majina matano yatakayopendekezwa na CC ya CCM kwenda kupigiwa kura na NEC ya CCM jina la Pinda ni la kwanza. Kutokana na source hiyo Pinda kwasasa ndiyo chaguo la Ikulu.

Majina manne tayari yanafahamika kwamba yatapendekezwa na CC ya CCM. Jina la 5 bado ni kitendawili na litategemea na upepo wa kisiasa ndani ya CCM wakati huo.

Majina 4 ambayo yatapitishwa na CC ya CCM in chronological order in
1. Mizengo Pinda (current sitting PM)
2. Jina moja la Mzanzibari (kudumisha Muungano)
3. Prof Tibaijuka/Asha-Rose (gender balance)
4. Prof Mark Mwandodya (alifanya vizuri kinyang'anyiro cha 2010)
5 ................,.......... (???)

Jina la 5 ndipo wapoangukia wagombea wengi na ni moja tu atakayepita chekecheo hilo la CC ya CCM. Kati kapu hilo ndio tunawakuta

Edward Lowassa, Samuel Sitta, Benard Membe, Steven Wassira, Frederick Sumaye, January Makamba, William Ngereja, Pombe Magufuri, Harrison Mwakyembe, Kigwangalla, etc

Swali linalowasumbua wengi je ni jina gani kutoka katika kapu hilo litapitishwa na CC ya CCM kukamilisha idadi ya wagombea 5 watakaopendekezwa na CC ya CCM kwenda NEC.

Hii ni headache kwa CCM kama chama na kwa wasaka urais kupitia CCM as individual

2010??? Umenifanya niwe na wasiwasi na yote uliyoyaandika !
 
hakuna kiongozi wa ccm katika ngazi hizi za juu anaweza kuongoza nchi hii zaidi ya Luwasa,yeyote atakaesimama kuwania urais Chadema lazima watapeta.hayo ndio maoni yetu sisi kina gogo la shamba

Ni maoni yako ila sio wote wanawaza kama wewe
 
Huyo Pinda few years back alisema uwaziri mkuu unamtosha leo anataka urais! Ama kweli mkweeree kaifanya taasisi ya urais kama kugema mnazi....so everybody can be a president in this country? even. a useless piece of shit like him!
 
Ajitathimini akiwa PM amekuwa na mafanikio gani hadi afikirie nafasi kubwa zaidi,kama siyo tamaa tu.kauri zake zisizo na diplomacy kama wapigwe tu, siyo nchi,na kumwaga machozi vinazidi kumwangusha.miaka 40 ikulu inatosha kustaafu siyo tiketi ya kugombea urais.
 
Huyu Pinda si ndo huwa kwenye ziara analalamika kama siye waziri mkuu wakati ndo mtendaji mkuu wa serikali kwa position ya urais haiwezi mambo yakitokea analia kama wziri mkuu raia wenye shida wafanyaje kwa Ccm lowasa bado ni best Candidate
 
Huyu huyu pinda alishawai kusema cheo alicho fikia kina tosha kabisa ni cheo kikubwa Sana iweje Leo autake uraisi?
Tena alisema akimaliza salama anakwenda kijijinikulima iweje lLeo?
 
Khaaaaaa... Masikhara haya!! We need a president and not a cry baby!!
 
Waziri mkuu pinda ametangaza nia ya kugombea urais kwa kupitia ccm.adaiwa kujidai ana uzoefu miaka 4o ikulu.atumia wajumbe wa kanda ya magharibi kujinadi napia makanisani.tzdaima source


Duh, uzoefu miaka 40 Wa kufanya madudu!
 
"Adaiwa kuanza kampeni, wengine walalamikia rafu, Kinana asema uteuzi bado!"

.. Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikihaha kutibu makovu yanayotokana na harakati za kuwania urais wa 2015, imethibitika kuwa waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameingia rasmi katika mbio za kuwania urais kupitia CCM, hatua ambayo imebadili mwelekeo wa kinyang'anyiro cha nafasi hiyo kubwa ya uongozi nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015, ...

Chanzo: MWANANCHI JUMAPILI
Watanzania wanamuhitaji prof. Anna tibaijuka kuchukua urais na sio vinginevyo. Ana uadilifu mkubwa sana
 
Watanzania tuanze kumuomba na kumlilia Mungu hatuepusha na janga hili.Pinda kuwa rais wa nchi hii is a curse to the nation. Utawala huu tumeshuhudia mambo mengi mabaya yakitokea huku Pinda akiwa kimya.
 
Ngoja wakati wa uteuzi ufika tuone ccm watamteua nani kazi ipo mwaka huu tutajua mbichi na mbivu wakati si mrefu.
 
bado mwigulu mchemba naye anatarajia kutanga nia ya kugombea uraisi
 
Back
Top Bottom