Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

Wacha waongezeke tu ,ili siku akiteuliwa mmoja wengine waanze chokochoko za kuvuana nguo hadharani. Kisha tuwashinde kiulaini.

Lower
Member
Wasira
Willy ngeleja
John magufuli
Sumaye
January
Asha
Mwigulu
6

Daaah patamu hapo
 
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Pinda nae atangaza kuwania uraisi juzi alipokuwa Mwanza.

Huu ni mwendelezo wa makada wa CCM wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu na mawaziri wengine kutangaza nia.
Tutarajie mnyukano mkubwa sana.Sijui nani atapona.Sijui na mama Salma nae atatangaza nia????
 
.... Hahahaaa. Ikulu Siyo Mahala Patakatifu Tena, Jk Kapachafua Kwa Madawa
 
... Ikulu Imeharibiwa Na Ccm, Si Mahala Tena Patakatifu
 
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Pinda nae atangaza kuwania uraisi juzi alipokuwa Mwanza.

Huu ni mwendelezo wa makada wa CCM wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu na mawaziri wengine kutangaza nia.

vipi mzee? bado mama salma na yeye atatangaza nia soon.
 
Pinda hafai hata kuwa mbunge achilia mbali uwaziri mi nadhani udiwani labda ungemfaa ni kiongozi mbovu/poor/weak kuwahi kutokea Tanzania
 
"Adaiwa kuanza kampeni, wengine walalamikia rafu, Kinana asema uteuzi bado!"

.. Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikihaha kutibu makovu yanayotokana na harakati za kuwania urais wa 2015, imethibitika kuwa waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameingia rasmi katika mbio za kuwania urais kupitia CCM, hatua ambayo imebadili mwelekeo wa kinyang'anyiro cha nafasi hiyo kubwa ya uongozi nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015, ...

Chanzo: MWANANCHI JUMAPILI

hakuna kiongozi wa ccm katika ngazi hizi za juu anaweza kuongoza nchi hii zaidi ya Luwasa,yeyote atakaesimama kuwania urais Chadema lazima watapeta.hayo ndio maoni yetu sisi kina gogo la shamba
 
Mwaka ujao kuna movie nzuri sana, ngoja ninunue mashine ya pop corn kabisaa!
 
hakuna kiongozi wa ccm katika ngazi hizi za juu anaweza kuongoza nchi hii zaidi ya Luwasa,yeyote atakaesimama kuwania urais Chadema lazima watapeta.hayo ndio maoni yetu sisi kina gogo la shamba

Kura za maoni Lowassa hapiti kwa Mama Salma
 
... Nchi Ya Wapumbafu Bana, Kila Kukicha Ni Vituko Tu
 
Amegundua kuwa Watz ni wepesi kuwatawala hakuna ugumu kila kitu ni kama upepo tu

Anataka kuitumia fursa
 
Back
Top Bottom