Kwani wangapi wamemshika, sio tu kumshika, kabla ya bwana harusi?
walishika zamani hao, wallah naua mtu!!!
Tofauti au kipya ni nini apo?! Tena wale waliweka na miguu begani kabisa.
Acha hizo mkuu..huko ni kukosa adabu na dharau of the highest order!!! kushika kiuno mbele yangu!? Hatakama nimeoa kahaba hapo lazima pachimbike