Pima macho hapa na Bwana Harusi?

Pima macho hapa na Bwana Harusi?

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
attachment.php
 

Attachments

  • bwana harusi.JPG
    bwana harusi.JPG
    35.1 KB · Views: 2,290
Kwani wangapi wamemshika, sio tu kumshika, kabla ya bwana harusi?
 
Bwana harusi huyo wa nyuma, aliyevaa koti jeupe ni kaka yake bi harusi
 
Tofauti au kipya ni nini apo?! Tena wale waliweka na miguu begani kabisa.

Acha hizo mkuu..huko ni kukosa adabu na dharau of the highest order!!! kushika kiuno mbele yangu!? Hatakama nimeoa kahaba hapo lazima pachimbike
 
Acha hizo mkuu..huko ni kukosa adabu na dharau of the highest order!!! kushika kiuno mbele yangu!? Hatakama nimeoa kahaba hapo lazima pachimbike


Pakichimbika mi nitakua nimetulia tu au?
 
Aliyeshika kiuno ndiye mmiliki halali sema tu ni veterani sijui kachelewa wapi huyu!
 
Siyo mbaya jamaa ni mume wa mtu.. labda aligongewa mke wake na dogo huyo ndiyo maana na yeye analipiza. Kabambia...
 
Back
Top Bottom