NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,897
Ndio nipo kimara hapa hata kibamba sijafika.😆😆😆😆Umefika mbali sasa
Ndio nipo kimara hapa hata kibamba sijafika.😆😆😆😆Umefika mbali sasa
Hakika.Inakatisha tamaa kabisa
OkNdio nipo kimara hapa hata kibamba sijafika.😆😆😆😆
Jioni njema
Ahahaah ipo njianiHapa ndoa tutasubiri sana mpwa
Tuombe duaAhahaah ipo njiani
Upo serious dataMkuu siku ukifanikiwa kupika Data nitag
Surd bossJamaa kwenye mapishi uko vizuri
Fungua darasa mkuuSurd boss
Anaetaka aje pm nitamfundisha ila atalipiaFungua darasa mkuu
Aiseee hii nyama imekauka vizur yani hapo inashuka tu
Kabisa unakula kitu unapendaAiseee hii nyama imekauka vizur yani hapo inashuka tu
Hiyo sio issue ya leo. Soma vizuriAlijiongeza akala kitaa sababu alijua njegere mbichi.
Hatari sanaIlimradi nisipate njegere kama za Elsa Marie,Two Hrs haziivi🤣🤣
Leo upitii kula?