NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,897
Njegere hazikuwiva nusura apasuliwe nahisiAse 😂 njugu mawe
Njegere hazikuwiva nusura apasuliwe nahisiAse 😂 njugu mawe
No maji yalipo pungua ndio nikaweka
Loh loh😄😄Yule sitaki hata kumuona kaniita mimi nzi..! na zimgomee tu!
Tutake radhi aisee..😅😅Utakuta ni msukuma alichanganya njugumawe akijua ni njenjere.
Na huku umenifuata sitaki kukuona!Loh loh😄😄
Ni mbuga gani?Karibu utembee utojutia
Mimi ni babu yako wa kipogoro ntakuachia laana.Tutake radhi aisee..😅😅
Bahati nzuri sijapasuliwa. Kaonja kidogo kaacha hapo hajasema kitu😄Njegere hazikuwiva nusura apasuliwe nahisi
Vibaya hivyoNa huku umenifuata sitaki kukuona!
Hongera alitulizwa na utamu wako wa siku zote.Bahati nzuri sijapasuliwa. Kaonja kidogo kaacha hapo hajasema kitu😄
Hujajisikia vibaya umejikunja jikoni halafu mzee kaishia kuonja tu? 😥Bahati nzuri sijapasuliwa. Kaonja kidogo kaacha hapo hajasema kitu😄
Kwaki shimba ni simba
Ooh! KumbeKwaki shimba ni simba
Nauliza,kwani shimba ni SIMBA.Ooh! Kumbe